Obama asaini muswada wa kuleta umeme kusini mwa jangwa la Sahara

Matukio Jamii

Member
Sep 9, 2015
12
8
_88187705_gettyimages-481876730.jpg

Rais wa Marekani, Barack Obama amesaini muswada kuwa sheria ya watu milioni 50 kupata umeme mpaka mwaka 2020. Sheria hiyo ya umeme Afrika itaboresha watu kupata umeme kupitia ushirikiano wa sekta za umma na binafsi.

Sheria hio imechukua karibu miaka miwili kupita katika mabunge yote ya Marekani. Mbili ya tatu wanaishi bila umeme wa uhakika Afrika na sheria hio ina lengo la kuongeza mara mbili ya watumiaji wa sasa katika malengo yake ya muda mrefu.
 
Back
Top Bottom