Recent content by Matty70

  1. Matty70

    Junior Programmer looking for an Internship

    Treehouse pia itakusaidia, mpk sasa mwenyewe boss hapo unachokijua ni mtaji tosha jiajil usisite kujaribu
  2. Matty70

    Naomba msaada wa jinsi ya kuondoa HDD Password kwenye Computer

    Hdd password inatoka kama utabadili operating system, hiyo itakua ni bios password kama umepiga os imegoma Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
  3. Matty70

    Smartphone android

    Itakua itel au copy ya sony( X-BO)
  4. Matty70

    Msaada tafadhali wa kujifunza kiingereza

    Tafuta vitabu vinaitwa brighter grammar
  5. Matty70

    Smartphone android

    Iflash japo nimetoka chang'ombe sio mda kwakosa la kuflash sim
  6. Matty70

    Wanawake hivi ni nani ametuloga?

    Maumivu ya mapenz hayapoagi kirahis hivyo hasa ukipenda
  7. Matty70

    Wanawake hivi ni nani ametuloga?

    Ishakua story tena even a day has not gone yet , we broke up
  8. Matty70

    Risasi zinarindima hapa Sigara-Buza

    Mtaani kwetu ila sijazisikia
  9. Matty70

    Wanawake hivi ni nani ametuloga?

    Natamani demu wangu angepitia hii thread, maana ni direct proportional inamuhusu
  10. Matty70

    Prove Me Wrong: Kwamba 85% ya wadada wanaopatikana humu JF ni Wabaya Wa Sura adi Maumbo

    _UTAJUAJE KAMA DEMU WAKO NI MBAYA???_ *NI PALE UTAKAPOMTAMBULISHA KWA WAZAZI WAKO.* *KISHA UNASIKIA WANAKWAMBIA......* *KIKUBWA NI UPENDO TU BABA.* *KUPENDANA NDO KITU CHA MUHIMU*[emoji23]
  11. Matty70

    Pombe imewahi kukusaidia nini katika maisha yako?

    Nilishapata project ilionipa hela na kupata ghetto bure kwa miez sita na nilipewa notice nilipokua nimepanga
Back
Top Bottom