Abdallahkova
JF-Expert Member
- Apr 19, 2017
- 1,154
- 1,128
Hahaha una uhakika hutumii mkuuMkuu uko vizuri, hongera yako...Pombe ilinisaidia kuongeza confidence one time na pia kupunguza mawazo kidogo, ila sasa hivi situmii tena
Nilishamwandalia tusi nikaghairi baada ya kuona ni mwanachama anayeongea positively juu ya pombe..........Msisahau pombe inatupatia papuchi.Nilifikiri unaiponda ....maana nimekuja speed....nipo samaki samaki nagonga beer...uko wp uje tuendeleze kikao ...twenty drinks will be on me
Samaki samaki ya Moro ni balaaNilifikiri unaiponda ....maana nimekuja speed....nipo samaki samaki nagonga beer...uko wp uje tuendeleze kikao ...twenty drinks will be on me
Ohooooo!!!Haijawahi kumuacha mtu salama. Wengi wamebakwa na ku fii rwaa kwasababu ya kunywa mipombe bila staha na kituo. Sijawahi kuipenda pombe na haijanisaidia chochote zaidi kuwafilisi nliofahamiana nao kwa kuendekeza pombe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imenisaidia kucheuwa na kutoa gesi tumboni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mjomba ngosha akapita naye.Kitwanga ilimrostisha[emoji23][emoji23]
Mkuu akikupa jibu fanya kuntagEti waliofanyiwa ayo ni wanawake au wanaume..!?