miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
kabisa na tungeingiza nyingi ..Kweli kabisa.
Tatizo tuna ubabe mwingi. Wakati huo huo ubabe tungeweza kuutumia pia kwenye kwenye kutafuta hela zetu wenyewe.
kabisa na tungeingiza nyingi ..Kweli kabisa.
Tatizo tuna ubabe mwingi. Wakati huo huo ubabe tungeweza kuutumia pia kwenye kwenye kutafuta hela zetu wenyewe.
Aliyewaroga ameshakufa.Hellow Ladies ( duuh kingereza si mchezo ni salamu tuu hadi nimesikia njaa).
Basi Leo wana jf wenzangu nikiamini kila mtu ni 18+ , tuwekane sawa baadhi ya vitu.
.
.
.
Hivi kwa nini wadada siku hizi hatuna adabu na nidhamu kwa waume /wapenzi wetu?
Unakuta mtu unahitaji labda la pesa, unamfuata mwanaume awe mpenzi au mume, badala ya kutumia lugha nzuri kuomba, UNAENDA KUDAI KAMA VILE NI HELA YAKO ULIMPA AKUSHIKIE.
Ukinyimwa unaanza manung'uniko mume bahili!!!
Kama ilivyo hakuna mkate mgumu mbele ya chai ndivyo ilivyo hakuna mwanaume bahili mbele ya mwanamke.
.
Kwa nini tukihitaji fedha kwa wapenzi wetu tunakosa???
1. Sababu yakwanza kubwa ni kwamba hatujui kuomba, tunalazimisha, hatuwafanyii wapenzi wetu mambo ya kuwapendeza hata kumshawishi kutoa hata kiasi kidogo alicho nacho akupe.
Wewe binti unaenda kuomba hela " nataka shilingi kadhaa kama haunipi sema"
Hivi mnajua jinsi hela zinavyopatikana kwa tabu?
Mwanaume wa watu hata chipsi kuku hajawahi kula lakini wewe unaenda kudai hela ya kuku kama vile ni yako.
Hebu tuwe na nidhamu basi hata kidogo.
Hao nao ni binadamu mbona?
Mwingine mwenzi wake katoka kazini kahangaika kutwa nzima kupigwa virungu ni migambo wa mji, anarudi jioni badala ya kumsalimia na kumpa pole wewe unaanza "vipi ile hela niliyokuomba"
Tuna nini lakini?
Kwamba tu wazuri sana?
MWANAMKE ASIYE NA ADABU NA UTII KWA MWANAUME NI SAWA NA MAKAPI TUU.
.
BIBLIA imeandika "enyi wake watiini waume zenu na wanaume wapendeni wake zenu"
Maana yake ni kwamba inatupasa kuwatii wanaume na hao watupende.
.
2. Sababu ya pili ni kwamba hana hela.
Mabinti wengi huwa hatuelewi mwanaume akisema hana hela.
Kwani hao ni sawa na chemchem za maji kwamba hela zikikatika kwao ndiyo zipo muda wote??
Hebu tujitahidi kuficha upumbavu wetu.
Mwingine utasikia " kama huna wenzako wanazo" hizi ni lugha za matisho na hatutojenga Bali tutabomoa.
"MWANAMKE MPUMBAVU HUBOMOA NYUMBA YAKE KWA MIKONO YAKE"
.
Kwa kumalizia,,..,....
Tuache kutamani maisha ya watu ukataka uishi kama Fulani.
Kila mtu anajua jinsi alivyopanga maisha yake hata akila ugali chumvi anaridhika utasema kala pilao.
Ishi maisha ambayo una uwezo nayo na furahia ulicho nacho.
Thank you.
. unaishia kuendesha gari mtaani kimya kimya.
Natamani demu wangu angepitia hii thread, maana ni direct proportional inamuhusu
Nilisha sign out, point yako imenifanya nami niongezee neno pia. Huyu jamaa pia ndiye baba wa demokrasia,kupigania yeyote kuwa kiongozi. Akidai eti Mungu ni dicteta anatawala pekee kipindi kirefu, akaanzisha upinzani ili pamoja na wafuasi wake wampigie kura ya ndio yeye atawale.Usawa. Shetani ni baba wa usawa. Alitaka awe sawa na Mungu. Leo anawadanganyeni na nyie muwe sawa na waume zenu
Natamani demu wangu angepitia hii thread, maana ni direct proportional inamuhusu
Vijiwe vya whatsup upuuzi tuu.wanawake vijiwe vya whatsapp vinatuponza.
kila mtu anataka aonekane bosslady instagram au machoni pa watu.
msingi mkuu huna, kwahiyo unakua msingi nguru.
na ukiwa hivo ,basi mwanaume nae anakutumia hivo hivo, nipe nikupe
tofauti yako na malaya wa ambiance inakua wale wana leseni wewe huna. unaishia kuendesha gari mtaani kimya kimya.
Mwanaume umleavyo ndivyo akuavyo, ukimlea akuheshimu atakuheshimu ,ukimlea akudharau atakudharau.
ndio maana unakuta wanaume wanakusanyika wanakwita maharage ya mbeya ,maana wanakujua wote tabia yako.
tujitahidi kupita tunajenga respect hata70%
Ishakua story tena even a day has not gone yet , we broke upCopy umtumie mkuu.