Lupamba's grandson
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,230
- 1,199
Rusha drone
Usikute ndio wanamgombaniaNgoja nimcheki mchuchu wangu Husna kama yupo salama....
Yanafaa kulisha kitimotoUmeokota maganda
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yanafaa kulisha kitimoto
Lakini Ustaadh, risasi si ndio zimetengenezwa kutupatia usalama hata pale ikulu wanazo. Pita tu bwana, we mtu wa Mungu usiishi kwa hofuNipo kwenye gari natokea g/mboto naelekea Tandika napitia Buza kama hamna usalama nirudi zangu mapema mie
Ha ha anazingua apige picha kabisaSasa si utoke mara moja hapo ukahakikishe ni kitu gani, kwanini unaleta thread nusu nusu?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nikifika zitakuwa zimekwisha, mi nipo Kawe, acha uoga toka nje mara moja hapo ushuhudie na utupe mrejesho[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nenda nje kaangalie ni nini mkuu chukua na picha uturushie hiumu
Hawakutakii mema hawa .[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tuwekee hata mlio nasisi tusikie basi
anaishi buza?Ngoja nimcheki mchuchu wangu Husna kama yupo salama....
Waugwana!
Nipo eneo la Sigara karibu kabisa na uwanja wa Tanesco huku buza.
Muda huu risasi zinaridima hatari. Zimeshasikika nne tayari.
1:55
Nyingine tatu sasa hivi.
2.09
Naona kumetulia sasa
3.11
Moja imepigwa sasa hivi
Jeshi la Polisi tafadhali muwe mnawahi kwenye matukio kama haya
HahahahahahSasa si utoke mara moja hapo ukahakikishe ni kitu gani, kwanini unaleta thread nusu nusu?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Watz kwa utani unaweza kufa huku unachekaJamani mpaka sasa hivi haijajulikana ilikuwa nini, hebu fuatilia aisee. Maana kuna mtu alisema inaweza ikawa ndoto hii