Naomba msaada wa jinsi ya kuondoa HDD Password kwenye Computer

Kuna hii tool inaitwa "Ultimate boot CD" ndyo inafanya ayo mambo. Sasa kukuelekeza sijajua level yako ya uelewa wa mambo ya IT. Kunavitu unabidi uwe unajua kama kuburn bootable cd, kuboot CD etc.

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Yap mkuu issue za kuburn bootable cd, kaboot CD au kufanya Flash iwe bootable ni kazi rahisi tu
 
Sasa download iyo tool. Iweke kwenye flash/ CD ifanye bootable. Inauyilities nyingi moja wapo ni kuondoa passward.
77bdbf3359b435c12c41713c430b6cb6.jpg

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
kama unaweza kuboot na kubadili Windows sielewi hiyo password inakusumbua nini?
Mkuu inanisumbua kila ukiiwasha inakuwa na mlolongo mpaka kuwaka coz ukiienter HDD Password inaenda kwenye BIOS mpaka usave changes ndo inaanza kufunguka kawaida so hicho ndo kinaniboa ndo maana nataka kuitoa
 
Sasa download iyo tool. Iweke kwenye flash/ CD ifanye bootable. Inauyilities nyingi moja wapo ni kuondoa passward.
77bdbf3359b435c12c41713c430b6cb6.jpg

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Asante sana mkuu wacha niidownload then niifanyie kazi hiyo tool
 
Habari wakuu, nina tatizo la HDD Password kwenye Laptop ya Samsung Notebook nimejaribu kuiondoa kwa kila njia niijuayo imeshindikana na mbaya zaidi nikaamua hadi kubadilisha window lakini tatizo limebaki palepale. Naomba mwenye utaalamu au ushauri wa kuitoa hii HDD Password kwenye compuer anisaidie.
Hdd password inatoka kama utabadili operating system, hiyo itakua ni bios password kama umepiga os imegoma

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu, nina tatizo la HDD Password kwenye Laptop ya Samsung Notebook nimejaribu kuiondoa kwa kila njia niijuayo imeshindikana na mbaya zaidi nikaamua hadi kubadilisha window lakini tatizo limebaki palepale. Naomba mwenye utaalamu au ushauri wa kuitoa hii HDD Password kwenye compuer anisaidie.
Mkuu umeshafanikiwa? Kama bado tuende pamoja... Hiyo pasword si unaifahamu?
 
HDD password haitoki kwa kuondoa CMOS, ile ni BIOS password ndo inatoka kwenye baadhi ya kompyuta kwa kutoa CMOS battery. BIOS na HDD ni vitu viwili tofauti.

HDD battery hautaweza kuitoa zaidi ya kubadili HDD, kama unaweza kuboot na kubadili Windows sielewi hiyo password inakusumbua nini?
Umenena vyema
 
Kumbe password yenyewe unaijua! Basi ingia kwenye bios kuna option ya kuzima au kuwasha HDD password chagua kuzima.
 
Huiondoi mpaka uiandike hiyo password ndio itambulike kuwa ni nomal procedure
 
Nenda control panel tafuta cyberlock click apo chagua kufanya description HDD itatoka mkuu nakuhakikishia
 
Habari wakuu, nina tatizo la HDD Password kwenye Laptop ya Samsung Notebook nimejaribu kuiondoa kwa kila njia niijuayo imeshindikana na mbaya zaidi nikaamua hadi kubadilisha window lakini tatizo limebaki palepale. Naomba mwenye utaalamu au ushauri wa kuitoa hii HDD Password kwenye compuer anisaidie.
Nenda control panel click program then zifanye zionekane katika small icon itafute cyberlock click apo italeta option ya kufanya description utaweza kyondoa iyo password itakuchukua kama dk kumi lakini lazima password uwe unazifahamu
 
Back
Top Bottom