hapa unawachuza tu wenzie,kwa ninavyohisi wewe ndio ukidai unamshika tanganyika jeki mumeo kabisa, mimi nimeshajiachia kutaka eti kunyenyewekewa kama mfalme nyumbani, ukijiwekea kwamba unataka mwanamke akuheshimu utaishia kugombana kila siku,kwahiyo kuepusha matatizo kila week ana budget yake nampa,sisubiri anaiombe,kikubwa kuna miko tu ya familia ambayo inabidi ujiwekee ili heshima isije kuporomoka sanaHellow Ladies ( duuh kingereza si mchezo ni salamu tuu hadi nimesikia njaa).
Basi Leo wana jf wenzangu nikiamini kila mtu ni 18+ , tuwekane sawa baadhi ya vitu.
Hivi kwa nini wadada siku hizi hatuna adabu na nidhamu kwa waume /wapenzi wetu? Unakuta mtu unahitaji labda la pesa, unamfuata mwanaume awe mpenzi au mume, badala ya kutumia lugha nzuri kuomba, UNAENDA KUDAI KAMA VILE NI HELA YAKO ULIMPA AKUSHIKIE.
Ukinyimwa unaanza manung'uniko mume bahili!!!
Kama ilivyo hakuna mkate mgumu mbele ya chai ndivyo ilivyo hakuna mwanaume bahili mbele ya mwanamke.
Kwa nini tukihitaji fedha kwa wapenzi wetu tunakosa???
1. Sababu yakwanza kubwa ni kwamba hatujui kuomba, tunalazimisha, hatuwafanyii wapenzi wetu mambo ya kuwapendeza hata kumshawishi kutoa hata kiasi kidogo alicho nacho akupe.
Wewe binti unaenda kuomba hela " nataka shilingi kadhaa kama haunipi sema"
Hivi mnajua jinsi hela zinavyopatikana kwa tabu? Mwanaume wa watu hata chipsi kuku hajawahi kula lakini wewe unaenda kudai hela ya kuku kama vile ni yako.
Hebu tuwe na nidhamu basi hata kidogo. Hao nao ni binadamu mbona?
Mwingine mwenzi wake katoka kazini kahangaika kutwa nzima kupigwa virungu ni migambo wa mji, anarudi jioni badala ya kumsalimia na kumpa pole wewe unaanza "vipi ile hela niliyokuomba"
Tuna nini lakini? Kwamba tu wazuri sana?
MWANAMKE ASIYE NA ADABU NA UTII KWA MWANAUME NI SAWA NA MAKAPI TUU.
BIBLIA imeandika "enyi wake watiini waume zenu na wanaume wapendeni wake zenu" Maana yake ni kwamba inatupasa kuwatii wanaume na hao watupende.
2. Sababu ya pili ni kwamba hana hela.
Mabinti wengi huwa hatuelewi mwanaume akisema hana hela.
Kwani hao ni sawa na chemchem za maji kwamba hela zikikatika kwao ndiyo zipo muda wote??
Hebu tujitahidi kuficha upumbavu wetu. Mwingine utasikia " kama huna wenzako wanazo" hizi ni lugha za matisho na hatutojenga Bali tutabomoa. "MWANAMKE MPUMBAVU HUBOMOA NYUMBA YAKE KWA MIKONO YAKE"
Kwa kumalizia,,..,.... Tuache kutamani maisha ya watu ukataka uishi kama Fulani. Kila mtu anajua jinsi alivyopanga maisha yake hata akila ugali chumvi anaridhika utasema kala pilao. Ishi maisha ambayo una uwezo nayo na furahia ulicho nacho.
Thank you.

Afadhali dada uwaambie maana kuomba omba kumezidi bila hata lugha ya staha , mm wakwangu haipiti siku tatu lazima alie shida yaani alafu ukimsadia mfano elfu 50 kesha anakuomba vocha ya buku hadi huwa naona nimepata kichomi kabisa yani, sasa hivi nataka nipitishe kama mwezi bila kumsaidia chochote akiweza kuhimili hilo basi ntajua kwel ananipenda la sivyo natoka nduki, chaajabu naye anavishughuli vyake lakini kaah hiyo shughuli yake hawezi hata kununua kandambili yaani ni shida tupuHellow Ladies ( duuh kingereza si mchezo ni salamu tuu hadi nimesikia njaa).