Mkuu acha kumdanganya, huwezi kuagiza RAV4 kutoka japani mpaka unaitoa ikawa milioni 10, RAV4 ya 1999 ushuuru wa TRA ni around 5.8 milioni , kwa maana hiyo bei ya RAV4-1999 Mpaka kuweka barabarani bila Bima ni around 15.8 to 16 milioni, usidanganyike ukaagiza ukakwama bandarini kama bajeti yako...