Bajabiri, ndio hivyo tena vongozi wa serikali hawana utashi wa kwenda Dom, wanafanya biashara Dar, kuna baadhi ya wafanyakazi wizara fulani walishalipwa kuhamia dom lakini baadaye walivyoona viongozi wanasuasua kuhamia dom nao wakarudi kimya kimya dar na mamilioni ya pesa waliweka mfukoni.