Mkubwa kwa kodi za tra sina tatizo nazo,shida ipo kwenye hyo cif,ukienda tradecarview rav4 zipo hadi za cif ya 3000usd na zipo katika hali nzuri! Hizi tunazonunua kwa showroom zetu huku bongo ni zile za grade ya chini kabisa wakifika huku ndio wanarekebisha makosa na wanauzia watu kwa bei juu.....
Mkuu King Kong III, Nakubaliana na wewe kuhusu uchakachuaji kwenye yard za bongo, lakini napenda nikueleze ukweli kuwa RAV4 ya cif ya dollar 3,000 haitakuwa na hali nzuri kama za kuanzia dollar 4500- 5000, trade car view quality ya magari yao siyo nzuri sana kivile that is why price zao pia zipo chini kidogo, ukitaka quality za used car waone car junction japo bei zao zimesimama lakiani kwa ubora value for money inazingatiwa. Note, Hakuna kitu cheap hapa duniani but the issue is value for money vs QUALITY.