Kijana najituma sana kwa huyu mama, lakini bahili!

Lengo haswa la mwanaume rijali kumfuata mwanamke who will never see 50ty again ni nini kama si pesa ?

Kama kwenu kiyoyozi kipo na hutumii kilevi, na nina uhakika kuna chakula cha kutosha, sasa wht r u expecting to achieve? Maana hakuna pesa yoyote unayopata hapo, ninavyowajua wamama wa namna hii wanahadithiana, akishakuchoka anampa shogake n so on and so forth...sasa utachezewa mpaka lini mwanaume mtu mzima over 30ty ?

Pole nimekuwa very blunt lakini lazima nikupe ukweli,
Mmh! anyway ahsante sana dada! Lakini mie si mwanaume wa hivyo! eti huyu mama anitumie alafu amlengeshe na shoga yake,nooo hawezekani na sitakuwa teyari kufanya hivyo. Imetokea tu kwa huyu mama na from nowhere naona kama tunapendana hivi. Na huyu mama mume wake yuko busy na misafari ya kikazi nje ya nchi. so mama hana mtu wa kumuhudumia kimapenzi. Amini huyu mama anajiheshimu sana na si muhuni kihivyo! sema ni bahili tu

Kama mtoto wa kiume unapenda kufanyiwa vitu basi achana nae huyo, nina bussiness patner wangu ana asili ya kiarabu ana show room ya magari, kama uko interested basi atakupa Toyota Cresta GX 110, yeye ni mpenzi wa vijambio vya wanaume vya wanawake hana mpango navyo.
Tafakari kama shida yako ni kufanyiwa mambo mazuri basi mchuma huo upo show room. niMP nikuunganishie dili hilo.

Mkuu Matola mie nishakuzowea wewe....hata kule kwenye jukwaa letu la siasa huwa na majibuya kivijembe jembe kama haya. Je, unajuaje kama mie
sina gari? Kwa taharifa yako mie ni mwanaume lijali kuliko unavyo fikilia. Anywayz ahsante kwa mchango wako mkuu!

Yaani hauna aibu kabisa mkuu hongera,...
Nisinge thubutu kuweka kitu kama hiki hapa achilia mbali kujisifia.
Pole sana kaka,.......Ila YESU anakupenda sana

Hawezi kukupa hela kwa sababu anajua utaenda kutafuta vibinti vya rika lako na utatumia hela zake kufanya matanuzi navyo. Ila yote katika yote si vizuri kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke wa mtu.

Heshima mbele wana jamvi!. Hii ni true story na siyo tungo.

Ni mara chache sana huwa napita kwenye jukwaa hili la MMU....jukwaa la siasa ndiyo maskani yangu hasa.

Ila kutokana na issue ambayo inanichanganya kidogo,nimeona si mbaya kwa leo nikipita huku ili kupata maoni kidogo juu ya swala hili.

Binafsi mie ni kijana,siko chini ya miaka 29 na sijafikia miaka 35. Kama mnavyojua mambo ya mjini katika mizunguko ya hapa na pale

siku moja nikakutana na lijimama (mke wa mzito fulani) yaani ni lijimama la nguvu,limepanda hewani,maji ya kunde. Umri wake nahisi ata

kuwa kwenye 55 au 60. Tokea tumeanza mahusiano huu ni mwezi kama wa 7 hivi, lakini kitu ambacho kinanisikitisha ni hubahiri wa huyu

mama kwenye pesa. Yaani ananipeleka kwenye hotel za bei na analipia room kuanzia elfu 50 hadi 80,nakula na kunywa ninachokitaka na

analipa bili yote! lakini linapokuja swala la kumuomba anisaidie pesa kiasi fulani' basi hapo huwa mbogo na mkali....na hiyo pesa hanipi.

Kama kujituma tuwapo kwenye 6x6 najituma sana hadi mwenyewe anaridhika,lakini likija swala la mimi kutaka pesa mama anakuwa bahili.

Sasa najiuliza, maisha haya mpaka lini? ukizingatia kitu ninachokifanya ni zambi kwa mungu! na mke wa mtu ni sumu. Lakini majuzi kaniam

bia eti kuna kitu cha maana sana atanifanyia na nitafurahi sana....lakini simwamini kutokana na ubahili wake (lakini ni family yenye mshiko)

Naombeni ushahuri wenu jamani! - Je ni kweli iko siku atanitoa au ananitumia tu kama condom?.

we ni manamba so unapaswa kupewa ujira mdogo ili uwe tegemez kwa mwajiri

Hamna cha pekee utakachopata utaishia kulemaa mtoto wa kiume tafuta kwa nguvu halali ndio utaenjoy,mijimama ya siku hizi mijanja ataishia kukulipia hoteli na kukupa vielfu 50 tu mwishiwasiku atampata mwenzako na we utabaki kama ****

hata siju nianzie wapi....
Mkuu The Boss,ni kweli hiki kitu ni pasua kichwa hasa! kwahiyo sishangai unapojikuta unashindwa hata cha kuchangia! anywayz tusameheane maana
hakuna aliyemtimilifu hapa duniani

hehehe Dah! kwa hali hii mjomba, bora baki huko huko jukwaa la siasa aisee! huku MMU ubakie kuwa msomaji tu
kamanda hata jukwaa la Siasa napendekeza wamfungie asiweze kupost,mtu anayekubali kuwa malaya wa kiume tena kwa mama wa over 60 ataleta mawazo gani yenye manufaa kwa Tanzagiza ?
Pili jina alilochagua kulitumia hapa linaashiria mwisho wake mbaya,Mshikachuma angalia lilivyofanana na usemi mpya uliobadili ule wa kushikishwa ukuta,siki hizi wanaita KUSHIKISHWA BATI-yaani paa la nyumba.
Mshikachuma nakuhakikishia kuwa kwasababu mume wa huyu mama atakuwa over 65 akigundua uhusiano huu ni dhahiri hataweza kukushugulikia mwenyewe lakini kuna uwezekano mkubwa akakodisha kundi la wahuni ambao mziki wao hautausahau maishani mwako.

ulimpenda kwa vile ulijua ipo siku atakutoa........jimama wa 60 wewe hata 30 huna...........kijana ondoka huko kwenye maisha tegemezi........tafuta kijana mwenzako wa kuanzisha maisha yenu na kujenga familia

huyu hawezi kutoka kwa hilo jimama......cha msingi fanya kazi kijana na inaonekana umekuwa adicted kwa hilo jimama...anayway kuna siku utajuta kijana......

Heshima mbele wana jamvi!. Hii ni true story na siyo tungo.

Ni mara chache sana huwa napita kwenye jukwaa hili la MMU....jukwaa la siasa ndiyo maskani yangu hasa.
Ila kutokana na issue ambayo inanichanganya kidogo,nimeona si mbaya kwa leo nikipita huku ili kupata maoni kidogo juu ya swala hili.
Binafsi mie ni kijana,siko chini ya miaka 29 na sijafikia miaka 35. Kama mnavyojua mambo ya mjini katika mizunguko ya hapa na pale
siku moja nikakutana na lijimama (mke wa mzito fulani) yaani ni lijimama la nguvu,limepanda hewani,maji ya kunde. Umri wake nahisi ata
kuwa kwenye 55 au 60. Tokea tumeanza mahusiano huu ni mwezi kama wa 7 hivi, lakini kitu ambacho kinanisikitisha ni hubahiri wa huyu
mama kwenye pesa. Yaani ananipeleka kwenye hotel za bei na analipia room kuanzia elfu 50 hadi 80,nakula na kunywa ninachokitaka na
analipa bili yote! lakini linapokuja swala la kumuomba anisaidie pesa kiasi fulani' basi hapo huwa mbogo na mkali....na hiyo pesa hanipi.
Kama kujituma tuwapo kwenye 6x6 najituma sana hadi mwenyewe anaridhika,lakini likija swala la mimi kutaka pesa mama anakuwa bahili.
Sasa najiuliza, maisha haya mpaka lini? ukizingatia kitu ninachokifanya ni zambi kwa mungu! na mke wa mtu ni sumu. Lakini majuzi kaniam
bia eti kuna kitu cha maana sana atanifanyia na nitafurahi sana....lakini simwamini kutokana na ubahili wake (lakini ni family yenye mshiko)

Naombeni ushahuri wenu jamani! - Je ni kweli iko siku atanitoa au ananitumia tu kama condom?.

KWAHIYO WEWE UNATAKA KUMJEUZA BUZI LAKO?????
icon8.png
KWANI NA WEWE HAUPATI RAHA?

Jamani hii dunia... vituko kila uchao. Ukihadithiwa waweza bisha sana, kumbe hufanyika. Nakushauri kama upo kibiashara basi pesa mbele kabla ya libeneke, mwone atasemaje?

wewe ni wakuchapa makofi tu, hakuna haja ya ushauri na tayari unangoma , subiri kuanza dozi hatimaye tukuzike . pumbafu!

Back
Top Bottom