Recent content by Matingi litikiti

  1. Matingi litikiti

    Nina milioni 10, nifanye biashara gani nzuri?

    Nimepewa shilingi million kumi (10) kama mirathi ya kifo cha marehemu baba yangu sasa nifanyie kitu gani ili kujikwamua na maisha haya.
  2. Matingi litikiti

    Hivi ni kweli njia hii ndo suluhisho?

    Ndugu zangu nimepata kuona na kusikia kwa watu wengi siku hii eti njia(Kupanda minarani na kutishia kujitupa)ya kudai stahiki zao ni kwa kupitia njia hii ya mkato ili kupata chako mapema. Sasa najiuliza hivi hapo unadai na ungependa kupewa na kufaidi stahiki zako ama kuacha Ndugu zako...
  3. Matingi litikiti

    Je, stail hii ni Ujanja au Ushamba?

    Naombeni tujadilia mada hii vijana wenzangu, kwa Picha hii inatufundisha nini haha. .............
  4. Matingi litikiti

    Huyu ndie Kitwanga

    Mbunge aliyeombewa kura na Mh. na kaachishwa kazi na Mh. Cheo cha undugu ndo madhara yake haya.
  5. Matingi litikiti

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    Hapa nimetoka kukurupuka kwa kupitiwa na usingizi kidogo but naona mbele yangu sura ya Mh. Anakusanya vitabu uyake pale ofisi kaambiwa eti jipu lake tayari limeiva na anajiaandaa kwenda theater mda huu. NI NDOTO YANGU TU NAJARIBU KUFANINISHA.
  6. Matingi litikiti

    Huu ni Upunga au ndo maigizo ya kimono?

    Cjakupa baba hata kidogo,hapa sms imeishia hewani rudia kwa kilugha chetu kwanza ninywee maji
  7. Matingi litikiti

    Huu ni Upunga au ndo maigizo ya kimono?

    Poa ukirudi utatafakari na kinipa jibu
  8. Matingi litikiti

    Huu ni Upunga au ndo maigizo ya kimono?

    Ninaomba msaada wenu hapa kwa hii caption je? Maigizo ama wanahimiza Ndoa za Jinsia moja? Me nacheck hii movie sasa nipate tafakuri na nyie mnipe mawazo yenu.
  9. Matingi litikiti

    Kwanini biashara hii mke wangu anaing'ang'ania?

    Napenda kuwapa pole kwa wote ambao huenda mchana huu unawapita Deshi bila kula. Kikubwa ni kutaka mawazo yenu kuhusu huyu mke wangu. Ni mwaka wa 3 sasa anafanya biashara ya nje yaani Kenya na Msumbiji( Nguo za kike kama Vitenge na Misuli ) ila sioni tofauti ya kimaisha na kiuchumi. Sasa...
  10. Matingi litikiti

    Nimekuta mke wangu ana mimba ya mwingine

    Lea baba kitanda huwa akizai haramu bwanasheheeee
  11. Matingi litikiti

    Jamani Gonorrhoea linanitafuna

    Saguda47 nimekukubali plz niibox ur number plz
  12. Matingi litikiti

    Jamani Gonorrhoea linanitafuna

    Mmmmmh kaka kweli 8hrs hii ki2 inakata kabisa? Au kijana una nijox tu
  13. Matingi litikiti

    Jamani Gonorrhoea linanitafuna

    Dah kaka@Waikoru c uniambie jina la hiyo dawa ninunue nipone ndg?
Back
Top Bottom