Huyu ndie Kitwanga

Apr 26, 2016
64
25
Mbunge aliyeombewa kura na Mh. na kaachishwa kazi na Mh. Cheo cha undugu ndo madhara yake haya.

1463843900728.jpg
 
Mbwembwe nyingi siku anahitimisha bajeti yake akampiga kijembe JK eti kamuweka Naibu waziri kwa zaidi ya Miaka 5 pamoja na uzoefu wake serikalini tangu 1984 lakini kwa mara ya kwanza hatimae kawa waziri kamili na kawasilisha Rasmi bajeti kumbe hakujua kama kabakisha saa 72!
 
Maalim Seif alishasema wakati tunapokuwa tunaongea tuweke maneno mengine akiba. Maana yake si busara kutamka kila kitu hadharani kwani siku ya siku unaweza kuaibika vibaya.
 
Back
Top Bottom