Nina milioni 10, nifanye biashara gani nzuri?

Apr 26, 2016
64
25
Nimepewa shilingi million kumi (10) kama mirathi ya kifo cha marehemu baba yangu sasa nifanyie kitu gani ili kujikwamua na maisha haya.
 
hiyo hela nakushauri iweke fixed au kanunue hati fungani nmb.. uiache kule miezi 6 au mwaka wakati unafikiria cha kufanya..

biashara hazifanywi kwa kukurupuka kisa umepata hela... hapo lazima utafeli tu

biashara nzuri ni kitu unachokipenda sana na unachokijua vizuri
 
Anazo kweli?
 
Mm Nina kiwanda changu cha ninatafuta mwekezaji million 10-20 ambapo unapata faida sh ml2-3 kwa mwezi unaweza kuwasiliana na Mimi kupitia 0675226757
 
Nimepewa shilingi million kumi (10) kama mirathi ya kifo cha marehemu baba yangu sasa nifanyie kitu gani ili kujikwamua na maisha haya.
Nimepewa shilingi million kumi (10) kama mirathi ya kifo cha marehemu baba yangu sasa nifanyie kitu gani ili kujikwamua na maisha haya.
Ipeleke kwenye kilimo, nyumba ya kupangisha na frem za kukodisha, au penye ukame was maji kachimbe kisima cha uuze maji!; ukifuata ushauri wangu tukiwa hai utanizawadia bia+kitimoto!
 
Kanunue mashamba na panda miti aina ya Pines au milingotina baada ya muda wa miaka fulani utakuwa milionea, kwa maelezo zaidi juu ya mashamba ya miti na utaalamu wa kuandaa mpaka kupanda weza ni PM
 
Mm Nina kiwanda changu cha ninatafuta mwekezaji million 10-20 ambapo unapata faida sh ml2-3 kwa mwezi unaweza kuwasiliana na Mimi kupitia 0675226757
Kam unataka wawekezaji nenda kituo cha uwekezaji pale TIC, Ukifika pale unawaeleza na utajaza form , kuna wawekezaji wanakuja mwezi ujao kutoka India, Watakuunganisha nao, na utakaa nao mezani kwa ajiri ya mradi wako.
 
Kiwango cha capital kwa mtanzania hadi wakukubali kukusikiliza tshs ngapi pale TIC? Coz mimi nina ka project ka dollar elfu 30 to 35
 
Back
Top Bottom