Jamani Gonorrhoea linanitafuna

Apr 26, 2016
64
25
Siku 5 sasa toka nipate bint la Kimanyema sasa naona anaugonjwa ndo
Kaniambukiza na mke wangu ndo kasafiri anarudi jmosi sasa itakuwaje na mimi ndo niko kwenye Dozi na mke wangu nitamwambia nini
 
Mwambie tu ukweli ndio utakao kuweka huru na ukipona kapime na ukimwi ila inaonekana ni namna gani ni caress kwenye afya yako mwenyewe dunia ya Leo unaendaje kwa mwanamke pekupeku acha umalaya
 
Pole kiongozi ....hiyo ni ajali kazini....

Nenda hospitalini kuna dawa flani hivi (nmeisahau jina?)..utachomwa afu maisha yataendelea...bei ya hiyo tiba ni kama elfu kumi hivi.....

Maku tamu sana hatuwezi kuacha eti kisa kisonono..Ukipona unaendeleza gem......kwetu sisi hiyo ni ajali kazini....
 
Dah kaka@Waikoru c uniambie jina la hiyo dawa ninunue nipone ndg?
 
Umevuna ulichopanda! Furuahia mavuno hayoo! Khaa! Uliambiwa ukivumilia hizo siku mkeo hayupo hilo lidushe lingekatika??mfyuuu! Mwambie mkeo samahani mke wangu nilichepuka nimeathirika nipo kwe dozi usikilizie maumivu yake! Katubu hukoo!
 
Hata kama kachepuka....ndo yamekuwa hayo!!!
 
Pole kiongozi ....hiyo ni ajali kazini....

Nenda hospitalini kuna dawa flani hivi (nmeisahau jina?)..utachomwa afu maisha yataendelea...bei ya hiyo tiba ni kama elfu kumi hivi.....

Maku tamu sana hatuwezi kuacha eti kisa kisonono..Ukipona unaendeleza gem......kwetu sisi hiyo ni ajali kazini....
Aisee...!
 
Piga ppf injection inayoitwa panadul, ina nguvu inabidi ule. Gharama yake ni chini ya elfu kumi. Nenda dispensari yoyote na aibu kwa mke wako itasitirika
 
Nikija hapo utanitambua shenzi Ina mana mi nasafir halafu unakata uno sehemu nyingine huko sio, aghrrrrrrrrr
 
Piga ppf injection inayoitwa panadul, ina nguvu inabidi ule. Gharama yake ni chini ya elfu kumi. Nenda dispensari yoyote na aibu kwa mke wako itasitirika

Asante kwa kutoa ushauri murua kwa huyu jamaa!!!!..

hiyo dawa huenda ndo nlikuwa naiulizia jina lake....imewahi kunisaidia sana!!!!
sindano mbili za ukweli ..inabidi ushibe kwanza...ndo wakuchome...tena matakoni kabisa....ndo dawa inafanya kazi vizuri...
 
Safi sana, jamaa apate tiba.
 
Pole kiongozi ....hiyo ni ajali kazini....

Nenda hospitalini kuna dawa flani hivi (nmeisahau jina?)..utachomwa afu maisha yataendelea...bei ya hiyo tiba ni kama elfu kumi hivi.....

Maku tamu sana hatuwezi kuacha eti kisa kisonono..Ukipona unaendeleza gem......kwetu sisi hiyo ni ajali kazini....

Wew cio mtu mzuri aseee....daah nmecheka sana
 
Piga sindano ya power safe, vidonge ya levomac na doxycline....
Ndani ya siku 5 umepona kabsa ila inashauriwa ukae wiki moja bila kushiriki tendo then kapime tena....

Mengine utajua jinsi ya kumalizana na mkeo kama umeoa kweli maana inaelekea we ni kachalii tu ka mtaani ujaoa....
Siku nyingine tumia kinga bw.ege wewe
 
Back
Top Bottom