Recent content by Mathias1981

  1. Mathias1981

    Wezi wa simu TAZARA

    aha ha ahaha hah umetisha sana mkuu
  2. Mathias1981

    Kuna mtu nimemzimikia

    nitaje tu husna usiogope
  3. Mathias1981

    Sakata la viroba: Mselia wa Dodoma ajipiga risasi na kufa

    Pole kwa wafiwa ila jamaa anaroho ngumu nae kujimaliza hewa.kisa viroba???
  4. Mathias1981

    Je chombo gani kilitumika kupiga picha sayari zote?

    Kweli utata ukijiuliza hayo maswali nje ya box
  5. Mathias1981

    Instagram haitaki kulog in

    Wakuu habari zenu?sorry natatizo ktk application iyo(instagram) tangu jana najaribu kulog in haitak kabisaa na anuani ni ile ile hata neno siri pia ni lile,imegoma jana hadi leo hii,upande wa network iko sawa kabisa na hata bundle pia,ila sasa sijui shida ilipo,please kwa anaefahamu msaada...
  6. Mathias1981

    Mkutano wa AU: Ni kwanini Magufuli hajaruhusu Mkalimani aongee?

    Duh!mbona kama anakimbizwa??[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  7. Mathias1981

    Waya: Ngoma mpya ya Joh Makini mbaya kuliko zote toka kwake

    hii ngoma haiko kiwango kile.cha huyu jamaa
  8. Mathias1981

    Nina hamu ya kuolewa ila sipati mtu aliye na utayari

    karibu vigezo ivyo vyote vipo
  9. Mathias1981

    Historia katika picha: Wazungu walitutesa sana waafrika!

    hakuna umasikini mkubwa kama umasikini wa fikra,yaan kuna wakati najiuliza ilikwendaje mwaraabu mmoja anadhibiti kijiji?haiingiii akilini kabisa wala tende wale kuteka vipande vya miraba kama hv!dah nawaza kwa sauti naona kama maigizo tu
  10. Mathias1981

    Tecno -J8 inajizima na kujiwasha

    (takufanya)#yakufanya
  11. Mathias1981

    Tecno -J8 inajizima na kujiwasha

    asanteni wakuu wote kwa ushauri but .je hakuna njia yyt labda takufanya bila.kufomat???ama.hakuna application yakusolve hili suala??asante
  12. Mathias1981

    Gigy Money ana tatizo gani? Unamsaidiaje? Anatikisa hadi beach!

    namlipia nauli fasta namtu wamkusindikiza Kule MIREMBE
  13. Mathias1981

    Tecno -J8 inajizima na kujiwasha

    Habari zenu wakuu, Nahitaji msaada wenu juu ya simu iyo tajwa hapo juu, imeanza tatizo la kujizima na kujiwasha pindi ninapotaka kupokea simu iliyopigwa, na pia wakati flani namba zinajionyesha bila jina ingawa zimehifadhiwa ktk kitabu cha simu, mwenye suluhisho tafadhali anisaidie.
Back
Top Bottom