Je chombo gani kilitumika kupiga picha sayari zote?

kichakaa man

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
5,487
5,111
Ukisoma geography kuna picha huwa zinaoneshwa hasa mpangilio wa sayari ulivyo nauliza swal ni chombo gan kilitumika kupiga picha sayar zote tisa kwa pamoja na kujua mpangilio wake ulivyo na hicho chombo kilisimamishwa wap na lini hizo PICHA zimepigwa na ni nchi gan walihusika zaid
 
Hizo sayari sio kwamba zimepigwa zote kwa pamoja, muonekano wa sayari hasa zile tano za mwanzo zinaweza onekana kwa kutumia telescope na kupigwa picha mbali na vyombo ambavyo vimewahi tumwa katika anga za sayari nyingine.
 
Ukisoma geography kuna picha huwa zinaoneshwa hasa mpangilio wa sayari ulivyo nauliza swal ni chombo gan kilitumika kupiga picha sayar zote tisa kwa pamoja na kujua mpangilio wake ulivyo na hicho chombo kilisimamishwa wap na lini hizo PICHA zimepigwa na ni nchi gan walihusika zaid
Ule ni mchoro tu. Baada ya sayari kugunduliwa na mpangilio wake kufahamika, wanasayansi walizichora ili kufanya urahisi wa kuelewa kwa wasomaji.

Kuna sayari kadhaa zinazoonekana hata kwa macho bila hadubini kutokea duniani. Sayari kama MERCURY, VENUS, EARTH, MARS, JUPITER na SATURN huwa zinaonekana kwa macho kutokea kwenye EARTH . ila mpangilio wake ndio haueleweki ukiangalia kwa macho.

Kuna satellite kadhaa zimerushwa na marekani kupitia taasisi yao ya. NASA. Satellite hizo zina Hadubini(telescopes) za kisasa zinazotumia LENS na zingine zinatumia MIRRORS (hizi ni za kisasa zaidi) na pia zina camera zenye GIGAPIXELS na ZOOM za Maelfu ya mara.
 
Asante kwa Maelezo japo huwa sielewi ile kwanin walichora kwa mtindo ule
 
Walichora hivyo kwa sababu ndio uhalisia. Kutokana na kwamba sayari zote zinalizunguka Jua. Na sayari zimetofautiana ukubwa na umbali wa kila sayari kutoka kwenye Jua.

Kila sayari ilikuwa imegunduliwa kwa wakati wake (hazikugunduliwa kwa pamoja)

Na kila sayari ilichunguzwa kwa muda wake.
 
Elimu ya anga huwa haifubdishwi kwa ufasaha katika ngazi ya msingi na sekondary ndio maana watu wengi hawaelew hii elimu kwa uzuri. Pia waalim wa msingi hawapo vizur kwenye hili somo
 
Sidhani kama unaelewa unacho kiongea mkuu, kila jambo hufundishwa kulingana na ngazi ya elimu uliyo fikia.
Acha dharau na kebehi kwa jambo usilolijua, kama ulipita mzima mzima hukuelewa basi ndio utambue tatizo ni mtaala na sio mwalimu.
Acheni uonevu kwa walimu, binafsi na mheshimu sana mwalimu hatakama ni wa chekechea.
 
Ukisoma geography kuna picha huwa zinaoneshwa hasa mpangilio wa sayari ulivyo nauliza swal ni chombo gan kilitumika kupiga picha sayar zote tisa kwa pamoja na kujua mpangilio wake ulivyo na hicho chombo kilisimamishwa wap na lini hizo PICHA zimepigwa na ni nchi gan walihusika zaid
Kweli utata ukijiuliza hayo maswali nje ya box
 
picha halisi ya solar system ipo ila haionekani kama unavyodhani ndio maana wakarahisisha kwa kileta hiyo michoro ili uweze kuelewa vyema,picha yenyewe ilipigwa na voyager 1 ila ni mbali haswa na kama ujuavyo sayari hazina mwanga wake asili hivyo kwa mwanga wajua unaopiga ukiwa mbali huwezi kuziona vyema...
 
Remote sensing
mkuu inakubidi uelewe hiyo taaluma hapo juu, hii ni science inayo deal na kuchukua data au taarifa sehemu au taarifa za kitu pasipo ww kufika hapo.
katika hizo process za kuchukua hizo taalifa huwa tunatumia sensor au satelite, hiki ni kfaa ambacho huwakinatumwa huko ambako binadamu hatuwezi kufika kwa ajili ya kuchukua data na huwa kinafungwa kamera yenye high resolution, na kwa mara ya kwanza ilichukuliwa na RUSSIA through taasisi yao ya kutengeneza GPS.
kwa maelezo zaid google what is remote sensing and their application
 
Kuna maswali watu wanauliza sababu fizikia hawakusoma mpaka at least kidato cha sita,hata ukianza kueleweshwa ni ngumu mno hata hivyo dimensions ziko nyingi za kuweza kupata picha hizo ,kwa ujumla sayansi haidanganyi
 
Ww uliyesoma utusadie ambao hatujasoma
 
Back
Top Bottom