Nimeanza ku date na wake za watu! Embu niambieni madhara yake!

Mzee wa upako amesema kama nke wa ntu ni sumu basi mme wa ntu ni maziwa
 
Huwa napenda kuangalia online postings za wake za watu. Nikiona wanaandika vi ujumbe vya kutia tia huruma naanzaga kuwachombeza online... To my surprise wengi hawaoneshi kukasirika. So far, sijaenda far, ndio maana nimekuja kuomba ushauri kwenu juu ya madhara ya jambo hili kabla sijaenda far...
jiandae kupatwa kwa 0713....
 
Hakuna madhara kamanda, ndo matokeo ya kubalehe kulikosababishwa na ulaji wa kuku wa kisasa
 
Mkuu wake za watu watam sana yani wanakupa kila kitu ila uwe fundi haswa utakula vinyaku hadi ukimbie
 
Hakuna mathara mkuu. Mpaka pale utakapo fanywa mwanamke na waume zao. Usisahau kuleta mrejesho. Kabla kujachukua maamuzi ya kujitundika. Mafanikio mema
 
Huwa napenda kuangalia online postings za wake za watu. Nikiona wanaandika vi ujumbe vya kutia tia huruma naanzaga kuwachombeza online... To my surprise wengi hawaoneshi kukasirika. So far, sijaenda far, ndio maana nimekuja kuomba ushauri kwenu juu ya madhara ya jambo hili kabla sijaenda far...
kuzibuliwa mtaro...
 
Ukianza kwenda far jiandae kuwa unaaga kabisa kwenu maana hutajua muda wala SAA ya kuelekea ICU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom