Recent content by masupio

 1. masupio

  Buriani Rafiki Yangu Waziri ''Maestro" Ally

  Pole sana Mzee; nimefarijika jinsi unavyoeleza details za namna unavyomfahamu Waziri na urafiki wenu wa muda mrefu. Pole kwa kupoteza rafiki mliodumu na hongera kwa uandishi uliotukuka.
 2. masupio

  Mtoto wangu hataki kuniita Baba nifanyaje?

  Kwani huyo mtoto mwenyewe anasemaje?. Usikute unajua hujui
 3. masupio

  Ushauri: Baba hataki nimuoe binti kisa baba yake mkubwa alikuwa mwizi!

  Kwani huyo baba mkubwa yeye anasemaje?
 4. masupio

  Naomba kufahamu dawa ya kuzuia NDEVU kuota haraka

  Dawa za kuzuia nywele kuota zipo nyingi sana na brand tafauti tafauti; nakushauri kama unaishi kwenye miji mikubwa kama Dar au Arusha tembelea maduka makubwa ya cosmetics watakushauri dawa nzuri kutumia kutokana na ngozi yako umri n.k.
 5. masupio

  Nahitaji kujifunza kuongea Kiingereza kwa mtiririko mzuri

  Kunywa monde ya kutosha tena changanga k vant, nyagi, balimi...umombo uta tiririka tuu. Utakuja kunishukuru Sent using Jamii Forums mobile app
 6. masupio

  Mwanafunzi apandishwa kizimbani kwa tuhuma za kubaka na kumpa mimba mwanafunzi mwenzake

  Yaani alimbaka na kumpa ujauzito papo kwa hapo au walisubiri mimba ilipotungwa ndipo akashtki amebakwa?
 7. masupio

  Mama mkwe kajichimbia naona shida kumtoa

  [emoji23][emoji23] sasa inahusiana vipi??
 8. masupio

  Mlioko Bagamoyo haya ndo Mavitu tunayoyafanya muda huu.

  Kwani bado mnaruhusiwa kukaa na simu bwenini?
 9. masupio

  Maisha ya ndoa ni magumu

  Tuma japo kapicha basi ili tuweze kukushauri vizuri ubaki au utoke; unaeza kuta yeye ndio anakuvumilia
 10. masupio

  Kosa la Kebwe ni lipi?

  Yaani umeandika na kujijibu au
 11. masupio

  Miaka 2000 inayokuja huenda kizazi cha mtu mweusi kikapotea katika bara la africa

  Yaani wewe hujajua tuu; wazungu wanaishi miaka 100 wana watoto wa 2. Sisi tunaishi miaka 45 na tunawatoto hadi 9.
 12. masupio

  News Alert: Ebola

  Kwa experience yangu mimi niliyepona Ebola; dawa ya uwakika ni spirit kama nyagi changanya na kitimoto. Hivyo virusi vinapasuka kama popcorn
 13. masupio

  Je, Car Security Systems ni ipi Bora na ya kisasa?

  Kutokua na gari kabisa na badala yake kutumia boda na bajaji
Top Bottom