Recent content by master siogopi jr.

  1. M

    Moja kati ya suluhu kwa matatizo ya Watanzania

    sawa kaka nahisi nitastart from hapo,,thanx
  2. M

    Moja kati ya suluhu kwa matatizo ya Watanzania

    thank you ndugu,,but sijaona kwa kufikisha hiyo idea ndo maana nmeiweka humu angalau nisife nayo.
  3. M

    Moja kati ya suluhu kwa matatizo ya Watanzania

    MPANGO WA KUENDELEZA MICHEZO TANZANIA 1.UTANGULIZI Tangu kupata uhuru nchi ya Tanzania mnamo mwaka 1961,kumekuwa na sintofamu kubwa kwenye maendeleo ya sekta michezo na burudani.Hakukuwahi kuwapo mafanikio yoyote ambayo ni ya kujivunia na endelevu katika mchezo wowote kwa zaidi ya miongo mitano...
  4. M

    Wolper ampiga kibuti Harmonize, Afuta picha zake zote na za WASAFI

    hivi ni hit and run au eat and run,,maana wana jf mnanichanga!!!
  5. M

    Kama hukusoma shule hizi kongwe, wewe ni mmoja wa vilaza mliopo hai

    kama waliosoma shule hizo wana mentality kama yako,wala sijutii kusoma st.kayumba.
  6. M

    Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

    na milioni hamsini mfukoni wewe ni milionea tayari,,aim kuwa bilionea..
  7. M

    Naomba ushauri juu ya maswala ya ulipaji kodi

    Habari wana jamiii,Mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza katika chuo Fulani nchini,,Pia ni muhanga wa janga la ukosefu wa ajira rasmi kwa wasomi linaloendelea nchini. Katika hangaika hangaika zangu nimefanikiwa kupata ka mtaji kidogo ambacho nimeamua kukazungusha kwa kufungua kaofisi...
  8. M

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    mbali na kuleta ladha nzuri kwenye chakula,pili pili pia husaidia kusafisha damu na ni kinga kwa baadhi ya magonjwa.
  9. M

    Je ipi njia sahihi ya kukabiliana na uoga?

    angeuliza kinyume cha woga tungemjibu hivyo
  10. M

    comedy movie zilizobamb kitaani

    the interview home alone babby s' day out are we there yet? death at a funeral soul plane
  11. M

    comedy movie zilizobamb kitaani

    friday after next
  12. M

    Hotuba ya Lowassa na Obama ni copy na ku paste

    did you know??usipolala kwa muda wa siku kumi na moja mtawalia unarudisha namba,,kifo kinakuita..
  13. M

    Dhana ya Ukanda na madhara yake kwa Tanzania yetu, Kanda ya Kaskazini kuna nini?

    mbona leka dutigite hamkuikemeaaaa?????ile ilikuwa ni nini??
  14. M

    Tafadhali Lowassa: Achana na 'active politics'; Bakia mshauri wa Taifa; furahia 80% yako

    hapo mwanzo nlikuwa nkiona watu wanajiita great thinkers but what they post and discuss vilikuwa agaist what they claim to be,,but now nmegundua kuwa kuna great thinkers kweli,na kuna kenge ambao wengi wamejoin recently,,but cio wote waliojoin recent ni kenge na wafata mkumbo,,ila wengi...
Back
Top Bottom