Recent content by masoudmwevi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Singida ajiunga na CHADEMA usiku huu

    kazi ipo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Viongozi wa CUF watinga Ikulu leo!

    ijumaa ijayo NCCR nao waende kuonja maji ya ikulu kisha wanaharakati nao waelekeee huko wakanywe juice ya ikulu halafu wananchi tuamue wenyewe hatutaki mtu wa kukaa bele yetu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Jerry Muro ashinda kesi yake

    mdau mwenyekujua hakimu alisemaje kuhusu kumuachia kwake huru maana tusianze kushangilia kibubusa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Zitto amtaka Waziri Mkullo apishe uchunguzi - Taarifa kwa vyombo vya habari

    Tujifunze kuwa na subira hizo ni tuhuma tuchangie zaidi asimamishwe nafasi ya uwaziri halafu tupime matokeo ya ripoti ya uchunguzi ndipo tuanze kusema kwa mujibu wa matokeo ya uchunguzi uchunguzi uliofanyika
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Math's-IRINGA

    hivi kumbe watoto wa shule ya msingi mwaka huu walifanya hisabati kwa majibu ya kuchagu?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Math's-IRINGA

    Waalim wa math's primary,sec,vyuo wamekutana mkoan Iringa kujaribu kubun mbinu za kuwafanya vijana wapende Hesabu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wakomaa: Ngeleja, Jairo watakiwa kuondoka; Pinda ataka mjadala uahirishwe kwa siku 21

    kazi imeanza moto uwe huohuo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Interview Tcra,TIAA vp?

    iwe!ulio?boojo ta kamugisha? Bado bana hiyo kitu,mi nipo huku ndo tuko kwenye mchakato wa kuita.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lets make Rostum Aziz the next President of Tanzania!

    ni kweli RA anatufaa thana watanthania kutuvusha walau hatua kazaaa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuanguka Kwa Rostam Aziz; Tafsiri Yangu

    Kaz ipo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe Bungeni Leo Live

    mwenyekt ni Jenista mhagama mh.mbowe alikuwa anasema neno viafunwa kumbe kwenye hotba halikuwepo ndo mkit akamtel aseme hansard irekodi hvyo vitafunwa vipigwe ful stop
  12. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe Bungeni Leo Live

    Anatumia current technlgy hana karatas hata moja vyote electronic
  13. M

    JamiiForums Tanzania Duu, kumbe Dar es Salaam kuna shule inaitwa YUSUFU MAKAMBA PRIMARY SCHOOL!!!

    Inategemea ni nani anapima thaman hyo.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wako wapi hawa wanamageuzi waliosaliti mageuzi na kurudi ccm?

    Prince Bagenda yupo shinyanga kama mwenyekiti au katibu wa ccm, Kabourou alikuwa mbunge wa east africa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mawaziri makini

    1. Kwa sababu mikoa mingine haina mawaziri 2. Inategemea umakini unaupima kwa vigezo vipi?, kuonekana kwenye vyombo vya habari mara nyingi, kupenda kuonekana kama unafanya kazi bila kuangalia athari ya matendo yako yaani kuamua kufanya bila kupima Faida na hasara 3. Kwasababu...
Back
Top Bottom