Duu, kumbe Dar es Salaam kuna shule inaitwa YUSUFU MAKAMBA PRIMARY SCHOOL!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duu, kumbe Dar es Salaam kuna shule inaitwa YUSUFU MAKAMBA PRIMARY SCHOOL!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gosbertgoodluck, Jan 24, 2011.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wazee,
  Hilo jina la shule bado lina thamani au mantiki yoyote???
   
 2. m

  masoudmwevi Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Inategemea ni nani anapima thaman hyo.
   
 3. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,889
  Trophy Points: 280
  wameishafeli hao wanafunzi!
   
 4. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kwa mwenendo huo, kuna chuo kitaitwa TAMBWE HIZA.
   
 5. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  wewe upo wapi kaka? Hata Yusuph makamba sekondari ipo pale mabibo external kuelekea jeshini..usishangae!
   
 6. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Very true.
   
 7. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Hata haijawahi kufaulisha tangu ianzishwe na ndio maana hatuijui! hihihihi!
   
 8. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  don't make me :A S cry:
   
 9. MANAMBA

  MANAMBA Senior Member

  #9
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huenda ni shule yake binafsi.
   
 10. m

  macinkus JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2011
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 260
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  baadaye itabadilishw jina. hata barabara ya TITI kuna wakati iliitwa UWT alipofungwa kwa uhaini. Alipofunguliwa na "kusamehewa" jina la zamani likarudi la BARABARA YA TITI MOHAMEDI. Inchi yetu hii, lolote lawezekana.

  macinkus
   
 11. m

  mshaurimkuu Member

  #11
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa sisi wa imani, jina lina nguvu za ajabu sana. Ilipata kuandikwa "Heri kurithi jina jema kuliko mali mengi". Kama hujui, jina lina nafasi muhimu sana katika maisha na mafanikio ya kitu chochote - shule, nk.
   
 12. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Aisee,hivi wanafunzi wanajisikiaje sasa??
   
 13. T

  Topical JF-Expert Member

  #13
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mbona kuna shule inaitwa nyerere lakini yeye alivyo bogus? na watoto wanapeta
   
 14. m

  mshangama Member

  #14
  Jan 25, 2011
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  itakuja chenge, rostam na msije kushangaa kukawa na dowans sekondari
   
 15. T

  Topical JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hivi shule ya Slaa itakuwepo? ntastaajabu issue ya maadili?
   
 16. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #16
  Jan 26, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mzee wa kuhongwa sahani ya pilau huishi kumsema Nyerere. Pamoja na roho yako inayonuka kama kinyesi cha mlevi wa mataputapu, NYERERE ANAFAHAMIKA RASMI KAMA BABA WA TAIFA. Wewe shekhe endelea na wivu wako huku ukinywa kahawa na kashata.
   
 17. Moseley

  Moseley Senior Member

  #17
  Jan 26, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Chenge secondary ipo wewe! .

  Jimboni Bariadi kuna shule ya CHENGE SECONDARY.
   
 18. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #18
  Jan 26, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Dah!! Sasa sijui mwenyewe akitembelea hii shule huwa anawaambiaje wanafunzi
   
 19. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #19
  Jan 26, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Crippled mind
   
 20. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #20
  Jan 26, 2011
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kwa namna ya utafutaji wa majina kwa wabongo, sio mbali sana utaiona shulea au chuo THE DOWANS PRIMARY SCHOOL au DOWANS SECONDARY SCHOOL AU DOWANS INTERNATIONAL SCIENCE HIGH SCHOOL, au DOWANS COLLEGE, au RICHMOND UNIVERSITY OF TANZANIA, .......... NA KADHALIKA. Ati ndiyo majina maarufu.
   
Loading...