Freeman Mbowe Bungeni Leo Live | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Freeman Mbowe Bungeni Leo Live

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bado Niponipo, Jun 23, 2011.

 1. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mlio karibu na radio na Tv tujuzeni tafadhari
   
 2. m

  masoudmwevi Member

  #2
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Anatumia current technlgy hana karatas hata moja vyote electronic
   
 3. l

  lucy mboya Member

  #3
  Jun 23, 2011
  Joined: Jun 18, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anaenda kwa data na wala si makadirio
   
 4. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Jamani, CHADEMA wamedhamiria kuliokoa taifa. Mbowe sasa hivi anawasilisha na kudadafua UFISADI balaa ndani ya uongozi wa maeneo mbalimbali ya serikali ya CCM
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nashangaa tuna ambiwa anacho tumia badala ya anacho sema,ushabiki ni utumwa
  wa ajabu sana
   
 6. Msongoru

  Msongoru JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  huku kwe2 umeme hakuna!
   
 7. F

  Frank lwakatare Member

  #7
  Jun 23, 2011
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kambi ya upinzani inapiga marufuku usambazaji wa kofia,diary,calender na vitu vingine visivyo na tija kwa wananchi katika mashirika ya uma!
   
 8. T

  The Priest JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  cdm na mwendo wa ipad..
   
 9. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #9
  Jun 23, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Mashangingi yote yapigwe mnada ndani ya miezi 6.
   
 10. n

  never JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu bora umenena yaani huku hatuna umeme tunategemea JF lakini cha kushangaza wenzetu wanao pata fursa hiyo ya kutazama hawatujulishi
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Jamani umemeeeeeeeeeee
  huku unarud saa 5noooooooooooo
   
 12. F

  Frank lwakatare Member

  #12
  Jun 23, 2011
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Magari aina ya shangingi yanayo tumiwa na wazito hasa wa serikali yapigwe mnada ndani ya mda wa miezi 6. Viongozi wa serikali wakopeshwe magari ya bei nafuu ili kuokoa matumizi mabaya in terms of repairance! Mh. Freeman anahutubia.
   
 13. T

  The Priest JF-Expert Member

  #13
  Jun 23, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  ipad na cdm
   
 14. Mzee Dogo

  Mzee Dogo JF-Expert Member

  #14
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  ebana nimekubali hyo technology, hivi mtoto wa mkulima anaweza kutuimia kweli?
   
 15. F

  Frank lwakatare Member

  #15
  Jun 23, 2011
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenyekiti wa bunge amkatisha mh.Mbowe wakati akimwaga sera kwa speed ya 180
   
 16. Ibra Mo

  Ibra Mo JF-Expert Member

  #16
  Jun 23, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 795
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Wanaharamu(Tanesco)washakata tayari!!Eti mpango wa miaka mi5 bila umeme!!
   
 17. n

  never JF-Expert Member

  #17
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ameongea jambo gani mpaka akamkatisha?
   
 18. F

  Frank lwakatare Member

  #18
  Jun 23, 2011
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Y not, kama mtoto wa mkulima anauwezo wa kutetea posho(150000) per day kwa nn ashindwe kununua ipod ya x2?
   
 19. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #19
  Jun 23, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mbona yale yale tuliyoyazoea? hana jipya?
   
 20. D

  Dr Kingu Senior Member

  #20
  Jun 23, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hatuna haja yakutumia mikaratasi kibao tunajaza uchafu tu. Híi inasaidia pia kubana matumizi. Kila mmoja amiliki ccm bwana wanatupotezea muda sana. Peoples power
   
Loading...