Recent content by MASOKO

  1. M

    Natafuta wateja wa Cement ya Dangote

    Bei ni moja mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Natafuta wateja wa Cement ya Dangote

    Nipo dar natafuta wateja watakaoweza kununua cementi ya dangote kwa Bei ya jumla.kuanzia mifuko Mia sita yaani gari moja uneletewa popote Tanzania Bei 12960.karibuni sana mfumo wa malipo ni cash .reja reja 13500. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Piga 0743790009 kwa vitabu vya jumla wapo kariakoo mtaa wa Aggrey Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Kifaa cha usikivu wa (masikioni)

    Inategemea na loss ya usikivu hizo mashine ni lazima zinunuliwe kwa kuonyesha vipimo ili wajue wanakupa mashine za aina gani.nenda muhimbili kuna jengo la richmond uliza hospital ya vifaa vya masikio utawaona na watakushauri aina gani ya kifaa ununue.nilishawahi kununua cha mtoto set kwa laki nane
  5. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hivi hapa mbagala umeme ni was mgao maana hatujawahi kupata umeme jumamosi.zackiem Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Naomba namba ya mkuu wa mkoa wa Mbeya

    Za asubuhi wakuu naomba nisaidiwe namba ya mkuu wa mkoa wa Mbeya . Natanguliza shukrani zangu Sent from my SM-G355H using JamiiForums mobile app
  7. M

    Naomba ufafanuzi: Upendo Peneza kwenye ziara ya Waziri Mkuu Ruangwa

    Ğh Sent from my SM-G355H using JamiiForums mobile app
  8. M

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu nashukuru kwa shule hii zaidi ya PhD naomba hii fursa isinipite kati ya hao300 was mwanzo
  9. M

    Misemo kutokana na Vichwa vya Treni

    Jf idumu miaka mia nimecheka sana
  10. M

    Kama umewahi kupiga au kupigwa kwenye mahusiano sogea hapa

    Picha tu ndio kitu cha maana kuunogesha huu uzi
  11. M

    TTCL waja na TTCL pesa, nawapongeza kwa hatua hii

    Ttcl nafasi kubwa nai zinazohitaji maamuzi yenye tija wapo watu ambao ni std seven.mna kazi kubwa sana maamuzi mengi ya kizee tu ndio yamejaa hapo
Back
Top Bottom