Uzi mzuri sana huu mshana yakwangu ni haya mpk sasa serikali inachukiwa mno na watumishi kwanamna ilivyowanyima madaraja yao na stahiki zao za malimbikizo watumishi wameamua kukaa kimya ila moyoni wanajua wanachowaza kiufupi serikali inajitengenezea chuki kubwa mara dufu kabla ya uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.