Trump Ampongeza "Kiduku" kwa Kuufyata!

Trump Ampongeza "Kiduku" kwa Kuufyata!

Nashangaa sana watanzania mnaofurahia vita ya hawa jamaa wawili hivi mnajua kama wakikinukisha na nyie madhara yake yatawakuta ? Msiniulize madhara gani. Na Trump si kwamba hana makombora ya kutisha anatumia ule msemo jifanye mjinga siku ipite
 
Af niwaambie tuu,US sio chiz kama mapank ambae hajali hata watu wake wakifa,..matajir wa US wamewekeza sana japan na south korea,biashara ya magar yoote ya japan,mwekezaj ni US,ukienda south korea,ma sumsung hayo,sjui ma laptop yoote,wawekezaj ni wa US,.sasa anawaza na kufanya mahesab kua ikitokea lakutokea itakuaje?ni hasara kias gan,sasa lenyew mapank linatambua haya,..na silaha zake za kizamani ananunua russia,na russia mshenz ye anauza tuu silaha mbovu,..yaan ukitoa hzo nukes 5 za koreana sub marine,silaha zilizobak za north korea hazina tofaut na mabom yale ya mbagala au gomsi.hamna kitu
 
Mabomu yanyuklia yalivyo hata kama ukawa na 1 na mwenzako akawa nayo mia. Ukiwahi kushambulia wakwanza, yale mia yanakuwa useless
 
Ubepari ni ubepari tu, hata Kim akiamua kuungana na U.S haitaondoa ukweli kuwa UBEPARI UMEJAA UNYONYAJI.
 
Ni mwenye upungufu wa akili tu ambae angefikiri kuwa huyu mapanki angeweka stand off
 
Mabomu yanyuklia yalivyo hata kama ukawa na 1 na mwenzako akawa nayo mia. Ukiwahi kushambulia wakwanza, yale mia yanakuwa useless
Japan ilipigwa pale hiroshima,though ni atomic ,uliona madhara kufika wap kwengne?nuclear haijwai pigwa dunia,na hata kama ipigwa,italeta madhara ndio lakin sio kama watu wadhanyo..na kwanza korea atapiga litatuaje kwanza,tuanzie hapo manake wajanja washamzingira tayr,around pale kuna Us bases zaid ya 50 plus guam,na zote zna nukes,na THAAD,sasa sjui anarushaje hlo bomb..atakua kichaa kim akirusha hilo bom,manake halitatua,na yeye ndo atapigwa nuclear sasa ,na kanchi kalivo kadogo kale,.wa.s.enge tutawazika wote
 
Trump kajitahidi kulegeza lugha,

kim alisema ameamua kusitisha kufanya hayo majaribio kwanza ili awaangalie hao wajinga wamarekani kama wataendelea kufanya maujinga yao.

Ndivyo alivyosema kim,yaani kawatukana wamarekani,
ambao badala ya kujibu wameshusha pumzi wakishukuru vita imeepukwa,
hivyo ndo kim anavyowachezea wamarekani,

na korea kusini washasema wao ndo wataamua kama vita iwepo ama la na sio wamarekani,
na rais wa korea kusini kishasema hataki vita pale,
so wamarekani wamebaki wanahang tu..
DHUxOV0XUAA_ciR.jpg:small
 
Mapank ana silaha kama za bongo yaan,..naangalia uwezo wa jeshi lake hapa,nachoona ni kua ana vifaru viing vya kizaman vile ambavyo hata bongo tunavyo,ndege zake sasa ndo kichekesho,..kama za bongo,helicopter zake kama za zima moto,ila ana sub marine kadhaa,..sasa huyu huu umaskin wake imebid alete propaganda za kua na nuclear na vimaneno viing,yaan katka super power za military 10 bora hayupo,kapitwa had na south korea na japan,hutak google..yeye anachoringa ni kua ana wanajesh weng baas,.manake north korea kila mtu ni mjeda,na ni lazma,hahahaha,poor him
Umeleta data ambazo Marekani atakua hana ... Kinacho ifanya Marekani isiweze kuishambulia N.Koerea ni kutokujua data za uwezo wa kijeshi za taifa la N.Korea na uwezo wa zana zake kijeshi.....

Sasa ww naona umekuja na siri ambazo marekani wanazitafuta kwa zaidi ya miaka 30+.......

N.korea hiyo nchi haina wanafiki kama waafrika naa waarabu... Raia wapo tayari mda wowote kupagana kutetea taifa lao.........

Obama pamoja na ubabe wake wote aliufyata alifikiri libya unaweza kuwahonga n.korea
 
Japan ilipigwa pale hiroshima,though ni atomic ,uliona madhara kufika wap kwengne?nuclear haijwai pigwa dunia,na hata kama ipigwa,italeta madhara ndio lakin sio kama watu wadhanyo..na kwanza korea atapiga litatuaje kwanza,tuanzie hapo manake wajanja washamzingira tayr,around pale kuna Us bases zaid ya 50 plus guam,na zote zna nukes,na THAAD,sasa sjui anarushaje hlo bomb..atakua kichaa kim akirusha hilo bom,manake halitatua,na yeye ndo atapigwa nuclear sasa ,na kanchi kalivo kadogo kale,.wa.s.enge tutawazika wote
wale wana jeuri,wanajua kabisa marekani wana mabomu ya kuwateketeza,lakini hawataki dharau,
wao wanajua wanaweza kuinuke south korea na japani kiurahisi sana ,
na pale kuna malaki ya askari wa kimarekani na mamilioni ya raia wa marekani,
ni suala tu la kujiuliza,je marekani yuko tayari raia wake zaidi ya 200000 wafe kwa ajili ya kumnyamazisha kim,
ama waepuke hasara hiyo na kuendelea kumwekea vikwazo,
kim anajua wamerekani hawako tayari kutake risk
 
Mkuu ni Putin au Xi ndio ka play big role kwenye hii?!
Kama kweli haya yametulia!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wauza maneno wame wadanganya na nyie mnataka kukubali kwa hayo madude ya kim lazima marekani wakunje mkia!!!
Au awe kama mbwa koko aliye katwa mkia kwenye kona lazima shike break!!!
Rangi ya paka haimzuwi kushika panya!!!!
 
Aliekwambia nan,..we unaskiaga wana test nuclear ,hua wana testia wap,nuclear watu wana i contain ile hata kutua haitui,..north ana mabom ma5 ya nukes,US ana mabom 9000,..nan atapotezwa kwenye raman,af Us alivo mshenz,around north korea tuu pale kuna US base zaid ya 50,na zote ziko equiped na nukes na THAAD,google THAAD najua hufaham ni nin.

Kwa hiyo wewe unashangilia kupotezana!!! Baada ya hapo unafikiri inakuwaje!!!! Jibe muda hata kidogo kutumia ubongo acha uvivu!!!
 
Duhh....[emoji17] [emoji17]
Balimi hizi.....[emoji25] [emoji25]
Ona sasa hata lugha ya Trump inayeyuka laivu....[emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20]
 
Kwa hiyo wewe unashangilia kupotezana!!! Baada ya hapo unafikiri inakuwaje!!!! Jibe muda hata kidogo kutumia ubongo acha uvivu!!!
Sishangilii kupotezana,naongea kilichopo,unataka nisemeje labda,..niseme tufunge na tusali vita isitokee?...hayo sema wew,mi naongelea scenario nzima
 
Wauza maneno wame wadanganya na nyie mnataka kukubali kwa hayo madude ya kim lazima marekani wakunje mkia!!!
Au awe kama mbwa koko aliye katwa mkia kwenye kona lazima shike break!!!
Rangi ya paka haimzuwi kushika panya!!!!

Tehe!, Fundi mie leo sina maneno mengi nauliza tu kama umesoma hiyo heading..
 
Napoleon hujui kitu chochote kuhusu no. Nk haina wanajeshi wengi kuliko USA, pia kuhusu silaha nk Korea wanajuvunia nyuklia, ya Masafa marefu. Mdogo wangu huna elimu ya kueleza mambo tulia

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kabisa kaka huyo Napoleon kakurupuka north Korea iko vizuri sana kwenye kwenye makombora ya masafa ya kati Na marefu pia jeshi LA majini wako vizuri sana sana submarines nyingi za kutosha so ajabu kuizidi marekani kingine askari wao no strong Na wazalendo wapo tayari kufa kwa ajili ya nchi yao sio kama wale masharobaro WA USA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You're right. Na anachoringia zaidi hana cha kupoteza. Nchi yote akiwemo iteketee kwake wala sio issue; anaitumia hii kama karata kuwatisha ambao "saving life" ni #1 priority kwao; anbao raia hata mmoja akifa ni bonge la loss.
Kitu kingine in kwamba north Korea in chambo tu believe or not kuna mataifa yako behind him hapo kinachosubiriwa ni USA aingie mkenge ile kwake duniani kuna watu wana akili zilizopitiliza kaka. CIA walisema north Korea hats weza kutengeneza intercontinental missiles hadi 2020 lakini yako wapi sasa HV? kashafyatua mapema 2017 hii ni movie, karata dume ya wajanja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom