Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,974
- 831,544
- Thread starter
- #21
Hapana hii mada itafika panapohusika na kuna baadhi (si yote) yatafanyiwa kazi... Trust me utaona kuna mabadiliko baada ya mudaMnajisumbua kwa uongozi huu ..ni sawa na kumpigia mbuzi gitaar mkitarajia amwage mauno bora Bata ....Rais mwenyewe anakuambia
..Sishauriki na ukijaribu ndo unaharibu kabisaaaa...vipi kwa vibaraka wake ..?
Ama kwel saul tumemtaka wenyewe acha ajitawale atakavyo...
"Kusikia kwa kenge hadi...."
Hivi hadi sasa maamuzi ya kukurupuka yamelitia taifa hasara kiasi gani vile...vile viwanda zaidi ya 1000 vimeajiri vijana kiasi gani vile ....hiv wale waliosema Rais aongezewe muda wa kuwa madarakani ni watz au wasomalia..? mbona twaweza wako kimya wapi tafiti au ile 1/4 imeongezeka..?
Hapa upepo tu kazi muulize punda....
Sent using Jamii Forums mobile app