Recent content by Masingija

  1. M

    Dk Kitila Mkumbo: Vijana wa BAVICHA wanahitaji kufundwa!

    Nawashauri Vijana wa CHADEMA waachane na Shibuda. HAENDI POPOTE NOT COMMENT ANYTHING ANACHOONGEA NDIVYO ALVYO. NA HAENDI MAHALI POPOTE . NINAAMINI HAWEZI KUGUSA NUCLEUS YA CHADEMA. NA KAMA JIMBONI HAFANYI CHOCHOTE TUTAMTOA TU ASITUTISHE CHOCHOTE. TUNAMJUA IN AND OUT NI DEBE TUPU!
  2. M

    LEAK: Document ya hukumu ya Godbless Lema HAPA

    Hakuna lugha ngumu, acheni utumwa wa lugha. Kwani blog hii ni ya kiingereza? Tukitaka kila mmoja aonyeshe anachojua tutaelewana kweli? Aliyeleta thread hii anatakiwa aitafsiri.
  3. M

    Mtei kasema UKWELI ULIOSHINDWA KUTAMKIKA, tuache unafiki!

    Acheni waboronge tu Nguvu ya umma itakuja kuamua. JK kafunika kombe mwanaharamu apite .
  4. M

    Kashfa mpya serikali ya Kikwete- waziri atishia wananchi bastola

    a Msihukumu haraka bila kuchunguza. Kwani wezi hawawezi kughushi namba za gari la Nyalandu? Acheni vyombo vya dola zifanye kazi. Tutaujua ukweli tu. Najua Nyalandu ana maadui wengi wanaotaka kumvurugia mambo yake. Nyaraka za serikali hazilindwi kwa rungu. Silaha maalum lazima zitumike.
  5. M

    Kama siyo Lema awe nani?

    Hapo kamanda nimekupata. Nanyaro apewe jimbo.
  6. M

    Kwanini ninagombea Ubunge wa EAC - My Case!

    Ni kweli atueleze ataifanyia nini EAC akichaguliwa kuwa mbunge? Hatujaona any oustanding legacy aliyofanya nchini. Mimi namshauri akagombee jimbo lililokuwa la Baba yake he can do something kuliko Lusinde asiyekuwa na hekima.
  7. M

    Utamaduni wa wahaya na kifo cha kanumba

    That is internal affairs. Wewe hayakuhusu.
  8. M

    Wanasheria tusaidieni mikopo ya Lema na kiinua mgongo bungeni itakuaje

    D Duh! unatia aibu. Nimekwambia think big achana na small issues. Ebu tupe CV yako isije ikawa tunasumbuliwa na kihiyo.
  9. M

    Wanasheria tusaidieni mikopo ya Lema na kiinua mgongo bungeni itakuaje

    Wewe una wasiwasi gani? Makamanda wetu si walala hoi kama unavyofikiri. Think big acha kuwaza small issues. Lema is a hard working Man , ni mjasiriamali. Hakuingia bungeni kuganga njaa.
  10. M

    Mwigulu chupuchupu kukamatwa na Takukuru

    Usishangae huyo ni Mwanaccm.
  11. M

    Ukweli wa kifo cha Kighoma Ally Malima ni upi?

    Hilo nalo ni neno.
  12. M

    Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

    Kama ni kweli, basi CCM wameanua kubadilika. Na hatua hiyo itawasaidia kujenga umoja.
  13. M

    Heche atangaza maandamano Dar kesho, Polisi yapiga marufuku!

    Tatizo wewe Mwenyewe hujalomaa.Kwa weledi wako mdogo uliochafuliwa na CCM hutaielewa CHADEMA ni mpaka hapo utakapoiona CHADEMA imepewa NCHI na wananch wenyewe.
  14. M

    Kafulila na Zitto wanaivuruga NCCR - Moses Machali

    Watu msimung'unye maneno. Mbatia kwa sasa hawezi kuingoza NCCR mageuzi. Weledi wake ni mdogo sana. Kama alishindwa kupata Ubunge wa jimbo la Kawe, ataweza kweli kuongoza chama kama Mwenyekiti wa Taifa. Nampa usahauri wa bure. Stepu down na uwe msahauri wa chama kama akina Mzee Mtei na Bob Makani.
Back
Top Bottom