LEAK: Document ya hukumu ya Godbless Lema HAPA

Tatizo ni aina ya maneno yaliyotumika kuiandika ndo kamzigo kadogo lakini siwezi kuiacha ipite hivhiv ngoja nimcheki wakili maarufu Hon Mwakingwe anichambulie nitakapo kwama,lugha ya sheria bana ni kiboko
 
Nashukuru kwa kupata hukumu hii. kama ndio nakala halisi ya mahakama, kama mwanasheria nimesoma critically facts na issues za judge alizotumia kufikia uamuzi wake. Kisha nimegundua mapungufu yafuatayo-
1. Judge anakiri Kamanda G. Lema hakutamka maneno hayo BINAFSI bali wawakilishi wake, hivyo nilitarajia judge angekuwa na additional issue ya kumtambua nani aliyetamka maneno hayo kwa niaba ya G. Lema; hakuna popote nilipoona anatajwa mtu huyo;

2.Jambo la pili ambalo judge hakulitatua ni kuhusu huyo mtu aliyetamka maneno ya kashfa dhidi ya mgombea wa CCM je alitamka maneno haya kwa kibali na ruhusa ya Kamanda G. Lema,je Lema alijua hayo yamesemwa na akayakubali kwamba hata ingekuwa yeye angefanya hivyo, maswali haya naona bado hayajajibiwa katika hukumu hiyo ya jaji, ndio maana alifikia uamuzi huo

3. Suala jingine ambalo jaji alitakiwa kulitolea tafsiri endapo kosa la jinai alilotenda A anaweza kuhukukumiwa B bila ya kushirikiki katika kosa hilo kufanyika,

4. Maneno mengi yaliyosemwa naona ni alleged defamation ambayo ina taratibu zake na fidia hutolewa pale inapodhibitika, itafaa CDM kuanza mchakato wa kuomba amendments ya kifungu hiki kwani kimejumuisha masuala mengine ambayo yanasimamiwa na sheria zingine na yana utaratibu wake wa fidia. hii itakuwa iliwekwa kwa makusudi na tayari huenda watu wa kutamka ovyo waliandaliwa bila upinzani kujua ili kupata sababu ya kutengua wabunge wa upinzani

Kwa mtizamo wangu haya masuala matatu yakitizamwa kwa upana wake kamanda G. Lema atarejea Bungeni hivi karibuni

CDM waongeze bidii ili kamanda arejee mjengoni kabla ya mjadala wa KATIBA MPYA

mm napita

Ili uweze kumshinda adui yako unapaswa kufahamu uwezo/fikra/mawazo na mbinu zake

Mkuu mbona mimi naona jamaa ameconclude kuwa Lema aliyasema hayo maneno mwenyewe au mimi naelewa tofauti?

In the material petition it has been proved satisfactorily that the person of respondent No.1 is the one which physically uttered statements in the scope of paragraph 7(b) of the petition (events Nos.3, 4 and 5) and paragraph 7(d) of the petition (events Nos.7, 8, 9, 10 and 11). It means respondent No.1 uttered during election rallies statements during eight events which were proved satisfactorily. Under that section 108(2) of The Elections Act (supra) any of those events could have sufficed to move this court to declare his election void. On that basis this court is hereby declaring void the election of respondent No.1 Godbless Jonathan Lema as Member of Parliament for Arusha Urban Constituency during the 2010 year General Election

Mimi hoja yangu ni ushahidi ambao ahujatimiza kile sheria inasega:"Prove beyond reasonable doubt". Kulihitajika substantiation ya huu ushahidi kuiridhisha mahakama kwa sababu haikuwepo wakati maneno yanatamkwa iweje wawaamini mashaidi wa upande mmoja na kuwakatalia mashahidi wa upande wapili kwa vigezo ambavyo ni dhaifu. kama ushahidi ungekuwa unatumika hivi basi kila mtu angefugwa maana ni rahisi tu kushirikiana na mashahidi mkatoa ushaidi wa uongo mkamridhisha huyu judge watu wakala chao mambo yakaendelea lakini si hivyo ni lazima anayeshitaki aprove BEYOND REASONABLE DOUBT ndiyo maana kesi nyingine huchukuwa miaka mingi kujiridhisha na ushahidi kabla ya kutoa hukumu.
 
Jargon nyingi sana humo hatuwezi kusoma, by the way kwanini mahakama ya Tanzania inatumia kimombo?

Naomba tuweke kwenye katiba mpya KIswahili kitumike, maana kesi inaendeshwa kiswahili hukumu inaandikwa kimombo wakati kuna maneno mengine hayatafsiriki kirahisi.

Mkuu kwa hilo la kuweka hukumu kwa kishwahili ninakuunga mkono.. Nakumbuka ciku moja uswahilini kwetu neighbour wangu kwa kujua mie kidhungu kinapanda kidogo.. akaniomba aniletee hukumu yake nimtafisirie kutoka kidhungu kuja kiswahili.. Duh baada ya kuileta Mkuu mbona ilinishinda mie..! Nikaishia kumuunganisha kwa mwanasheria wangu huyo neighbour wangu ili asaidiwe.. Kulikuwa na maneno yasiotafsirika na ndo kama humu kwa hukumu hii..
 
Mkuu mbona mimi naona jamaa ameconclude kuwa Lema aliyasema hayo maneno mwenyewe au mimi naelewa tofauti?

In the material petition it has been proved satisfactorily that the person of respondent No.1 is the one which physically uttered statements in the scope of paragraph 7(b) of the petition (events Nos.3, 4 and 5) and paragraph 7(d) of the petition (events Nos.7, 8, 9, 10 and 11). It means respondent No.1 uttered during election rallies statements during eight events which were proved satisfactorily. Under that section 108(2) of The Elections Act (supra) any of those events could have sufficed to move this court to declare his election void. On that basis this court is hereby declaring void the election of respondent No.1 Godbless Jonathan Lema as Member of Parliament for Arusha Urban Constituency during the 2010 year General Election

Mimi hoja yangu ni ushahidi ambao ahujatimiza kile sheria inasega:"Prove beyond reasonable doubt". Kulihitajika substantiation ya huu ushahidi kuiridhisha mahakama kwa sababu haikuwepo wakati maneno yanatamkwa iweje wawaamini mashaidi wa upande mmoja na kuwakatalia mashahidi wa upande wapili kwa vigezo ambavyo ni dhaifu. kama ushahidi ungekuwa unatumika hivi basi kila mtu angefugwa maana ni rahisi tu kushirikiana na mashahidi mkatoa ushaidi wa uongo mkamridhisha huyu judge watu wakala chao mambo yakaendelea lakini si hivyo ni lazima anayeshitaki aprove BEYOND REASONABLE DOUBT ndiyo maana kesi nyingine huchukuwa miaka mingi kujiridhisha na ushahidi kabla ya kutoa hukumu.

Mkuu Ngonini,
Kwenye mambo ya Civil Cases standard of Proof ni "On Balance of Probabilities" na sio "Beyond Reasonable Doubt" kama ilivyo kwenye Criminal Cases! Kwa hiyo usichanganye "madawa," utawa-mislead wasiokuwa wanasheria vibaya sana!
 
Naomba kuuliza kwa wale weledi wa mambo ya sheria.

Hii hukumu imeletwa na mleta mada kama doc ambayo imevuja, je kweli imevuja au mtuhumiwa ana haki ya kupewa nakala ya hukumu ? na kama ana haki na amepewa na mahakama sasa imevujia wapi?

I am not a lawyer by profession. Ila kwa kuwa karibu na lawyers ni kwamba Hukumu itakuwa imevuja kama ambavyo maamuzi ya kumtegua Lema yalivyojulikana in advance. Judge akiisha soma hukumu inakuwa tena si siri na inakuwa available to public, ndiyo maana wanafunzi wa sheria hukutumia hukumu za kesi mbalimbali kujibia mitihani yao.

Nafikiri muanzisha thread ameweka heading ya 'LEAK' akijiaminisha kuwa document hiyo haitakiwi kujulikana Public, lakini vilevile inawezekana kuwa walioiandika hukumu hii kwa kuwa 'wamebaka' haki wasingependa kudhalilika kwa utumbo wao kuchambuliwa na Public na wao kuonekana kuwa ni makanjanja wa sheria. Hukumu hii inanikumbusha 'Hukumu ya Dibagula wa morogoro' ambayo Judge alijikuta anatumia imani yake zake kumhukumu mtu badala ya sheria, ndivyo ilivyokwenye kesi la Lema kwa Jaji kuonesha kuwa yupo royal to CCM zaidi ya kuheshimu sheria. Kwa hukumu hii ninaamini kabisa kuna watanzania wengi sana wana-sota jela kwa upuuzi kama huu wa kina Rwakibarila.

Kukubali ku-compromise taaluma kwa matakwa ya mtu asiye na taaluma yako ni kujibadili kuwa mzoga kwenye taaluma yako.
 
Nafurahi kusoma hii hukuma ya mumvua mheshimiwa Lema, Tafadhali Lema pata nakala hapa ujipange kutoa utetezi wako wakurudishie ubunge maana hata pesa za uchaguzi mdogo zimeisha, wakulu wanazihitaji kuhudhuria mazishi ya Muthalika na ndoa ya Zuma
 
Jamani kingeza sio lugha yetu, sisi ni waswahilina waliobobea,na ndio utamaduni.
 
ANYWAY nimeipitia lakini naona hukumu inakinzana na hitimisho la hukumu kwa maana ya vifungu vya sheria vilivyomtia G.Lema hatiani na follow up ya utekelezaji wa hukumu.
naamini JF ni zaidi ya chuo haya yatapatikana hapa hapa.
 
Ndugu!'
Judge anataja G. Lema katamka maneno hayo yeye mwenyewe. Kwani kamtambua kama "Correspondent No.1.
kwa hiyo si kweli kwamba jaji anakiri kuwa maneno hayo yalitamkwa na mwakilishi wa Lema. Tatizo langu ni ule ushahidi kwa kwamba Lema alitamka yale maneno na uhalali wa kuyaita Kashfa.

Nashukuru kwa kupata hukumu hii. kama ndio nakala halisi ya mahakama, kama mwanasheria nimesoma critically facts na issues za judge alizotumia kufikia uamuzi wake. Kisha nimegundua mapungufu yafuatayo-
1. Judge anakiri Kamanda G. Lema hakutamka maneno hayo BINAFSI bali wawakilishi wake, hivyo nilitarajia judge angekuwa na additional issue ya kumtambua nani aliyetamka maneno hayo kwa niaba ya G. Lema; hakuna popote nilipoona anatajwa mtu huyo;

2.Jambo la pili ambalo judge hakulitatua ni kuhusu huyo mtu aliyetamka maneno ya kashfa dhidi ya mgombea wa CCM je alitamka maneno haya kwa kibali na ruhusa ya Kamanda G. Lema,je Lema alijua hayo yamesemwa na akayakubali kwamba hata ingekuwa yeye angefanya hivyo, maswali haya naona bado hayajajibiwa katika hukumu hiyo ya jaji, ndio maana alifikia uamuzi huo

3. Suala jingine ambalo jaji alitakiwa kulitolea tafsiri endapo kosa la jinai alilotenda A anaweza kuhukukumiwa B bila ya kushirikiki katika kosa hilo kufanyika,

4. Maneno mengi yaliyosemwa naona ni alleged defamation ambayo ina taratibu zake na fidia hutolewa pale inapodhibitika, itafaa CDM kuanza mchakato wa kuomba amendments ya kifungu hiki kwani kimejumuisha masuala mengine ambayo yanasimamiwa na sheria zingine na yana utaratibu wake wa fidia. hii itakuwa iliwekwa kwa makusudi na tayari huenda watu wa kutamka ovyo waliandaliwa bila upinzani kujua ili kupata sababu ya kutengua wabunge wa upinzani

Kwa mtizamo wangu haya masuala matatu yakitizamwa kwa upana wake kamanda G. Lema atarejea Bungeni hivi karibuni

CDM waongeze bidii ili kamanda arejee mjengoni kabla ya mjadala wa KATIBA MPYA

mm napita

Ili uweze kumshinda adui yako unapaswa kufahamu uwezo/fikra/mawazo na mbinu zake
 
Kikubwa hapa Timu ya CDM na Lema ilishindwa kutafuta credible witnesses kama wale wa CCM. Refer to

"In a situation like that, this court could have opined that respondent No.1’s side rebutted the petitioners’ version. But the same is not the position because all the four witnesses who testified for respondent No.1’s side had rampant interests to serve, subject to results of this petition due to the following grounds.

First, respondent No.1 who testified as RW.1, was also the CHADEMA political party Elections Campaign Manager for the Arusha Urban Constituency during the 2010 General Elections. He was, in addition, the MP candidate for that constituency under sponsorship of that party. Second is RW.2. She was the candidate for the counsellors’ seat for Lemara ward in that constituency.

Third is RW.3 who is currently CHADEMA Publicity Secretary. He was a Master of Ceremonies (MC) during all sixty (60) election campaign meetings for CHADEMA MP candidate in that constituency which respondent No.1 addressed. And fourth is RW.4. He was that political party’s Publicity Secretary during the elections campaign period in 2010. He is currently CHADEMA’s Arusha Regional Secretary and simultaneously that party’s Chief Accountant at its headquarters in Dar es Salaam".

Ikumbukwe kuwa CDM ilikuwa na harakati nyingi sana kwa wakati mmoja kutayarisha mandamnao, migomo masuala ya umeya wa Arusha n.k, Hivyo CCM walitumia muda huu kujipanga vyema tayari kuwashushia CDM kipigo kama amabvyo CDM ilikuwa kiwashushia vipigo katika nyanja nilizozitaja hapo juu.

Pamoja na uzuri wote wa Mhe Lema lakini lazima tuzingatie ukweli, Je kwa hulka yake Lema asingeweza ktamka hizo kauli? Kwangu mimi naona pamoja na ubora wake kiharakati lakini hakuwa ameandaliwa vyema kutambua sheria za uchaguzi. Hivyo hakuna sababu za kulia kulia sana, tugange yajayo.
 
SUMMARY YA YOTE YALIYOZUNGUMZWA NI:

KURASA ZA KWANZA ZOTE NI SHE SAYS AND HE SAYS (ALITUKANA NA HUYU MWINGINE HAKUTUKANA).

KIFUNGU ALICHOHUKUMIWA LEMA NI HIKI HAPA NA TUKIANGALIE KAMA KIFUNGU HICHO KILITIMILIKA.
SOMA VIZURI HASA HAPA PEKUNDU.
"
Under Section 108(1)(a) of The National Elections Act (supra) it is provided, inter alia, that the election of a candidate as a Member of Parliament shall be declared void if any of the following grounds is proved to the satisfaction of the High Court and on no other ground, namely –"

SASA TUAMIE KWENYE KWENYE MAELEZO YAKE ALIYOYATUMIA ILI KUTHIBITISHA MANENO YA HAPO JUU ILI KUPINDUA MATOKEO.
"
In the material petition it has been proved satisfactorily that the person of respondent No.1 is the one which physically uttered statementsin the scope of paragraph 7(b) of the petition (events Nos.3, 4 and 5) and paragraph 7(d) of the petition (events Nos.7, 8, 9, 10 and 11). It means respondent No.1 uttered during election rallies statements during eight events which were proved satisfactorily. Under that section 108(2) of The Elections Act (supra) any of those events could have sufficed to move this court to declare his election void. On that basis this court is hereby declaring void the election of respondent No.1 Godbless Jonathan Lema as Member of Parliament for Arusha Urban Constituency during the 2010 year General Elections."

HAPO PEKUNDU KWA KUWA JAJI HAKUHUDHURIA WALA KUSIKIA KUTOKA KWA LEMA MWENYEWE AMA MTU WAKE AMETUMIA KIGEZO GANI KUFIKIA CONCLUSION YA "PROVED SATISFACTORILY" MANENO YA WALALAMIKAJI TU ??

Kwahiyo unaweza kuona jaji ametumia maneno ya walalamikaji tu bila kuthibitishwa kuunganishia vifungu vya sheria
kumuhukumu lema. ni kweli kuwa hukumu hii ni sahihi na kifungu ni sahihi lakini inabidi wahusika wathibitishe ili jaji
haweze kuvitumia vifungu hivyo. yeye ameamua kuyaunganisha maneno ya walalamikaji bila kuyathibitisha na vifungu vya sheria under section 108(1)(a) ili kulazimisha hukumu yake.
 
Hivi huyu jaji angekuwepo arumeru mashariki akamsikia Lusinde sijui angesemaje?karibu mambo yote kuhusu Buliani ni kweli kwani hakuwahi kukanusha binafsi wala huyo Laigwanani wake

Huyu mama bado ignorant. Tofauti ya kura 18,736 ni gap kubwa sana kulimaliza kijinga hata kama uchaguzi utarudiwa mara 5. Sana sana wanalitia Taifa gharama kwani CHADEMA itarudi bungeni na ni aibu nyingine kwa CCM. Nani amewaambia Arusha ni sawa na Igunga?
 
Kikubwa hapa Timu ya CDM na Lema ilishindwa kutafuta credible witnesses kama wale wa CCM. Refer to

"In a situation like that, this court could have opined that respondent No.1's side rebutted the petitioners' version. But the same is not the position because all the four witnesses who testified for respondent No.1's side had rampant interests to serve, subject to results of this petition due to the following grounds.

First, respondent No.1 who testified as RW.1, was also the CHADEMA political party Elections Campaign Manager for the Arusha Urban Constituency during the 2010 General Elections. He was, in addition, the MP candidate for that constituency under sponsorship of that party. Second is RW.2. She was the candidate for the counsellors' seat for Lemara ward in that constituency.

Third is RW.3 who is currently CHADEMA Publicity Secretary. He was a Master of Ceremonies (MC) during all sixty (60) election campaign meetings for CHADEMA MP candidate in that constituency which respondent No.1 addressed. And fourth is RW.4. He was that political party's Publicity Secretary during the elections campaign period in 2010. He is currently CHADEMA's Arusha Regional Secretary and simultaneously that party's Chief Accountant at its headquarters in Dar es Salaam".

Ikumbukwe kuwa CDM ilikuwa na harakati nyingi sana kwa wakati mmoja kutayarisha mandamnao, migomo masuala ya umeya wa Arusha n.k, Hivyo CCM walitumia muda huu kujipanga vyema tayari kuwashushia CDM kipigo kama amabvyo CDM ilikuwa kiwashushia vipigo katika nyanja nilizozitaja hapo juu.

Pamoja na uzuri wote wa Mhe Lema lakini lazima tuzingatie ukweli, Je kwa hulka yake Lema asingeweza ktamka hizo kauli? Kwangu mimi naona pamoja na ubora wake kiharakati lakini hakuwa ameandaliwa vyema kutambua sheria za uchaguzi. Hivyo hakuna sababu za kulia kulia sana, tugange yajayo.

none sense kumbuka musa mkangaa siyo tu mwanachama wa ccm bali alikuwa diwani wa ccm.
wengine walitoa ushahidi kama wanachama wa ccm kwahiyo hoja ya jaji haina msingi.

kuwa kiongozi wa chadema haikuondolei credibility kwakuwa wahusika walikuwepo kwenye mikutano hiyo basi ni eyewitness kama wale wengine. kumbuka kwenye kesi ya kaborou na premji waliotoa ushahidi wote walikuwa
wanachama na viongozi wa chadema na alishinda.
 
Pamoja na uzuri wote wa Mhe Lema lakini lazima tuzingatie ukweli, Je kwa hulka yake Lema asingeweza ktamka hizo kauli? Kwangu mimi naona pamoja na ubora wake kiharakati lakini hakuwa ameandaliwa vyema kutambua sheria za uchaguzi. Hivyo hakuna sababu za kulia kulia sana, tugange yajayo.
Mkuu, hatakama alisema wao walipaswa kuthibitisha maneno hayo....
 
Loading.....0.5% Scanning.......please wait don't go away.....error 1664: Niwekee kwenye lugha ya asili.......
 
Back
Top Bottom