Kama siyo Lema awe nani?

Wanabodi
Nimetafakarikwa kina kuhusu hatma ya uwakilishi wa jimbo la Arusha mjini.Mahakama imetoa hukumu ya kihuni mno,imejidhalilisha sana.Natambua kuwa CHADEMA imeipinga na kukataa rufaa.Ushauri wangu kwa viongozi wa CHADEMA kuwa uwezekano wa kushinda rufaa ni mdogo,hasa ikizingatiwa kuwa Lema hatakiwi kabisa na mfumo,hivyo ni muda mwafaka wa CDM kujiandaa na kumwandaa kamanda mwingine atakayegombea jimbo hilo,na hapa nikamkumbuka Nanyaro diwani wa levolosi.
Huyu Nanyaro i kamanda wa ukweli,ni mtaratibu,mpole,ila mwenye hekima na kipaji cha uongozi,nimezungumza na makundi kadhaa hapa A town,na wengi wanamwamini sana,wengi wanaamini ndiye nguzo kuu ya cdm hapa Arusha,na ushindi wa Lema alichangia kwa asilimia kubwa,imani kubwa imejengwa baada ya kuanza kutekeleza ahadi zake kwa wanalevolosi hasa ujenzi mkubwa wa barabara unaoendelea.Cdm msimamisheni Nanyaro Arusha mjini.Wengi wanamfanisha Lema na Nanyaro kama Musa na Joshua,kuwa Musa aliwatoa wana wa Israel misri ila Musa hakufika nchi ya ahadi,bali aliyewafikisha ni Joshua(Nanyaro)

KAMPENI NDANI YA CHAMA ZISHA ANZA..........! lema akikusikia wewe,
 
Hapo kamanda nimekupata. Nanyaro apewe jimbo.
 
SYSTEM HAIMTAKI LEMA! hahahaaaa... falsafa yetu ni nguvu ya umma, kama hawamtaki Lema si ni wao...je, unauhakika umma haumtaki Lema?
Besides, sasa hivi kuna makamanda wengi sana na muda ukifika CDM wataamua nani awe wapi. Hebu tuweke akili yetu kwenye rufaa kwanza. sulala la mgombea CDM siyo issue wapo wengi sana na kama upo A-town andaa kura yako tu!
CDM ni nguvu ya umma na ndo msingi wa dola...
CCM ni nguvu ya dola inayotokana na umma...
 
Sisi ndiyo tuliomchagua Lema... kwamba system haimtaki hiyo ni juu yao... sisi tunamtaka Lema na si vinginevyo....

Usifanye kampeni za kijinga hapa... who is Nanyaro.... tuwache na Lema wetu pleaseeeeeeeeeeee

Acha woga.. kwenye ukweli uongo hujitenga.... Chema tutashinda rufaa........
 
LEMA KWANZA WENGINE BAADAYE, NARUDIA LEMA KWANZA. Chadema ikiingia huo mtego wa kuvuruga safu yake nayo itakufa. Adui muombee njaa, ARUSHA tunamtaka LEMA kama tulivyompigia kura, hata kama alitukana kwani matusi yanapiga kura???? kwani mawaziri wangapi wametukana tena taifa sio mtu au kikundi cha watu bado ni mawaziri?? mtakula nyasi, pigie mbizi, kila mtu atauchukua mzigo wake wakati wao wakibeba mzigo wa manyoya na sisi kutufungia mizigo ya misumari, ufisadi nk.

Wasimponze Lema aamue kuondoka na watu wake kama alivyoondoka nao TLP. Lema akikihama CDM kwenda kwingine umaarufu wa CDM Arusha utashuka by half
 
Kwani kale kautaratibu kaliko tumika Arumeru kumpata Joshua mmekafuta na sasa mnapitisha wagombea kupitia JF?
 
Wanabodi
Nimetafakarikwa kina kuhusu hatma ya uwakilishi wa jimbo la Arusha mjini.Mahakama imetoa hukumu ya kihuni mno,imejidhalilisha sana.Natambua kuwa CHADEMA imeipinga na kukataa rufaa.Ushauri wangu kwa viongozi wa CHADEMA kuwa uwezekano wa kushinda rufaa ni mdogo,hasa ikizingatiwa kuwa Lema hatakiwi kabisa na mfumo,hivyo ni muda mwafaka wa CDM kujiandaa na kumwandaa kamanda mwingine atakayegombea jimbo hilo,na hapa nikamkumbuka Nanyaro diwani wa levolosi.
Huyu Nanyaro i kamanda wa ukweli,ni mtaratibu,mpole,ila mwenye hekima na kipaji cha uongozi,nimezungumza na makundi kadhaa hapa A town,na wengi wanamwamini sana,wengi wanaamini ndiye nguzo kuu ya cdm hapa Arusha,na ushindi wa Lema alichangia kwa asilimia kubwa,imani kubwa imejengwa baada ya kuanza kutekeleza ahadi zake kwa wanalevolosi hasa ujenzi mkubwa wa barabara unaoendelea.Cdm msimamisheni Nanyaro Arusha mjini.Wengi wanamfanisha Lema na Nanyaro kama Musa na Joshua,kuwa Musa aliwatoa wana wa Israel misri ila Musa hakufika nchi ya ahadi,bali aliyewafikisha ni Joshua(Nanyaro)

Kwenye Red. Lema hatakiwi na Mfumo, lakini anatakiwa na Umma wa Arusha waliomchagua kwa kura nyingi
Kwenye Blue. Hii sasa ni Kampeni. acha kucheza mpira nje ya uwanja mazee
Halafu Rasta nini tena Mkuu si ulisema hutaki siasa tena?
 
tuache, muda ukifika basi cdm wataamua

watanzania tunapenda sana speculation za papara
kweli hizo stahili za magamba hazikubaliki cdm. Huwezi ukamuengua lema eti kwasababu hatakiwi na system huu ni uchuro. Nahisi mjambo wa ccm humu kwenye hii thread. Lema atasimama twende step kwa step kwanza stahili waliyotumia magamba kumng'oa lema haina mshiko wowote ule. Haki bin haki muache lema asimame kwa miguu yake na chama kitakuwa nyuma yake utawaweka wapi wapiga kura 50,000 waliompigia 2010. Je una fikiri hao walipigia cdm au walipigia cdm kwakuwa imemsimamisha lema . Jiulize kwanza , dr. Slaa alipata kura ngapi na freeman mbowe alipata ngapi then unconclude kuwa nanyaro achukue nafasi ya ugombea adios.
 
Back
Top Bottom