Hiyo balance ya dini haiwezi kuwepo jamani. Ina maana kama kuna mahali anatafutwa mtu mmoja kenye nafasi tuseme katibu mkuu, na kuna waislam 20 wenye sifa na wakritu 100 wenye sifa, ...of coz kuna probability kubwa huyo mtu akapatikana kwenye wale wengi...100.
Tatizo ni elimu jinsi iliyokuja hapa nchini. Wamissionery..Wakritu of coz..walpokuja kwetu walijenga shule na baadhi ya vyuo kwa ajili ya kusomesha watu ili wapate makarani wakuweza kuafanya kazi.
Waarabu waliyoleta Uislamu..wao walijenga tu madrasa ambayo yanafundisha tu elimu dunia..dini ya kiislamu..Hawakutaka watu waelimike kwa sababu ya kutaka kuwatawala..na kuwapata watumwa. Angalia hata maswala ya ubaguzi yalitawala sana..ndio maana hata wanaume walihasiwa ili wasiwze kuzaa na mabinti/wanawake wa kiarabu.
Wazungu..wakristu hawakufanya hivyo. Sasa baada ya kupata uhuru, ndio tukajikuta kuwa waristo wngi wemekwenda shule na waislamu hakuna na hata wale wachache, waliobahatika, walijipenyza kweny shule za misheni kwa kutumia majina bandia ya kikristo, pamoja na kuwa walitishiwa kuwa wakienda huko watakule mzee wa meza. Ndo maan kuna inbalance ya elimu kati ya wakristo na waislamu leo hii.
Sasa huku tuendako, kama katiba mpya itazingatia kilio cha wengi, posti kama; majaji, wakuu wa wilaya, mikoa, makatibu wakuu wa wizara, waakurugenzi, nk. nk.; hazitakuwa tena 'presidential appointments" , badala yake ni CVs tu zitakuwa zinatembea. Sasa hapo nani watawin..si wale walio wengi kwenye elimu?...Haya matume ya kuteuliwa na Office namba moja pale magogoni.. yana mwisho wake..ni CVs tu zitakuwa zinatembea. Kwa hiyo uwe Mristu, muislam, Mhindu, Mpagani, yote hayo yatakuwa hayan maana tena. Ni mwendo wa Cv tu na kutakuwa hakuna malalamiko tena.