Recent content by Mashoo Mashoo

  1. Mashoo Mashoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake jinsi wasivyokuwa waaminifu...

    Are you dying? Or moving to mars?
  2. Mashoo Mashoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasioolewa na kujiamini kupitia vitu

    Ifike kipindi baadhi ya wanaume waache kuamini kuwa kumuoa mwanamke ni kama tendo la kumhurumia au kumsaidia. Mnakosea. Ndoa ni makubaliano kati ya mme na mke kuingia kwenye hatua ya juu ya mahusiano . Ukiona mtu amefikia umri mkubwa na bado hajaoa au kuolewa basi makubaliano hayo hayajafikia...
  3. Mashoo Mashoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii yetu wanaume.

    Kumbe mnajua. Ila mnafanya makusudi.
  4. Mashoo Mashoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninampenda sana,anataka kuoa lakini hataki tuachane

    Na kaka zetu
  5. Mashoo Mashoo

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya uislamu na ugaidi,..msaada

    Lini hiyo? Mnaota ndoto za alinacha kweli. Haita kaa itokee mpaka uzao wako wote unaingia kaburini. Huko mnakoenda baada ya kuua ndio mkaeneze hizo imani zenu za bikra 72.
  6. Mashoo Mashoo

    JamiiForums Tanzania To My Ex....

    Hahaa! Pole mkuu. Sicheki kuwa yamekukuta.
  7. Mashoo Mashoo

    JamiiForums Tanzania To My Ex....

    Teh teh
  8. Mashoo Mashoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni zipi Tabia za Mabinti Wapogoro

    Watu wakarimu sana.
  9. Mashoo Mashoo

    JamiiForums Tanzania Bank inaweza kuzuia usikopeshwe na bank nyingine?

    Ameshalipa wa nbc tayari, kupitia hiyo dhamana yake iliyouzwa. Angekuwa bado anadawaiwa na nbc hapo ingeleta shida. Hata hivyo, pengine nmb hawajapata hizo taarifa za mkopo wa nbc wa huyo mteja.
  10. Mashoo Mashoo

    JamiiForums Tanzania Tahadhari Kwa Wezi Wa Simu Mtaani!!!

    Vibaya mnoo. Kuna mmoja aliiba simu kwenye ofisi, na camera za ofisi zikamnasa kabisa wakati anaichukua. Akabisha, mpaka leo hawana la kumfanya.
  11. Mashoo Mashoo

    JamiiForums Tanzania Tahadhari Kwa Wezi Wa Simu Mtaani!!!

    Nimeipenda hiyo app. Ila kibongo bongo mwizi atakana tu hata kama picha yake imetumwa kwenye email.
  12. Mashoo Mashoo

    JamiiForums Tanzania Tuige hii desturi ya wachaga

    Watu wana chuki za hatarii!!
  13. Mashoo Mashoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke: Aina 10 za wanaume wa kuepuka kuwa na mahusiano nao hawa hapa…!

    Hii mada angekuwa ameleta mwanamke angeshambuliwa kweli kweli.
  14. Mashoo Mashoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke: Aina 10 za wanaume wa kuepuka kuwa na mahusiano nao hawa hapa…!

    Wapo ambao hawana hizo tabia. Ila ni wachache mno. Most of them are taken. Noted.
  15. Mashoo Mashoo

    JamiiForums Tanzania Trafiki afa baada ya kukamata daladala

    mhhhh!
Back
Top Bottom