Ni zipi Tabia za Mabinti Wapogoro

Ni zipi Tabia za Mabinti Wapogoro

Status
Not open for further replies.
....ndo maana siku hizi ufanisi kazini ni zero kabisa.. Badala ya kwenda kufanya kazi, akili inawaza kungonoka tu!!
 
Kama mabnt wa kpogoro utalia nao walisalit balaa,mm ni mhanga nahao watu.pesa mbele ndo mpango mzma kama bahiri presha tupu.
 
Habari za J2 wana JF!!!!!Nimesafiri nipo maeneo fulani hivi huku Ifakara .k.a Upogoroni!!!Nipo kikazi!!!!Kwa kweli wenyeji wangu wamenipokea vizuri sana!!!!!Ila naomba mnisaidie kwa yeyote anayejua kiundani tabia za kabila la huku ususani hawa mabinti,manake ntakuwapo huku for almost 2months!!!!Nadhani mpaka hapo wakuu mmeshanielewa nina maana gani!!!!Karibuni!!!!

Mimi niko Kibaoni njoo nikuhabarishe
 
You are with the subject

What the hell are you asking us a question we cant answer?
 
Usisahau kupitia pitia mitaa ya mlabani, kwa shungu, lumemo, kibaoni, Lumemo, Ifakara, Jongo, Mhola,,,ukiwamaliza huko nenda na kining'ina katindiuka, kikwawila ukimaliza huko utakuwa umebaki kama njiti ya kibiriti
 
Habari za J2 wana
JF!!!!!Nimesafiri nipo maeneo fulani hivi huku Ifakara .k.a
Upogoroni!!!Nipo kikazi!!!!Kwa kweli wenyeji wangu wamenipokea vizuri
sana!!!!!Ila naomba mnisaidie kwa yeyote anayejua kiundani tabia za
kabila la huku ususani hawa mabinti,manake ntakuwapo huku for almost
2months!!!!Nadhani mpaka hapo wakuu mmeshanielewa nina maana
gani!!!!Karibuni!!!!

Usihofu Mkuu, ni watu wazuri I mean wema na wakarimu sana, tabia zao zinafanana na wandamba wa huko huko ifakara!
 
Usisahau kupitia pitia mitaa ya mlabani, kwa shungu, lumemo, kibaoni, Lumemo, Ifakara, Jongo, Mhola,,,ukiwamaliza huko nenda na kining'ina katindiuka, kikwawila ukimaliza huko utakuwa umebaki kama njiti ya kibiriti

Kwa Goha,Michenga,Nakasisi,Ng'ambo,Madukani nk.
 
Msamiati wa kumwambia mwanaume hapana huwa hawana hasa ukipita maeneo ya viwanja60 na lipangalala.
 
Wapogorogo wanaanza maujanja wakiwa na umri mdogo, unaweza kuona binti ukazani ni mdogo kumbe ni mkubwa wa mambo. Na akiingia hutoki ndugu yangu kuwa makini.
 
Ha ha ha, kweli, kuna wakati niliend Ifakara nikakuta wanauza kitu kinaitwa 'pepeta', kwanza nlivyosikia wanatangaza tangaza, nikajiambia 'skafulillah, wanauza kondomu za kike hadharani?'. Mara naona mchele ulobantalala, sikupata akili ya kununua nionje.

Apewe pepeta...atafune mpaka kichwa kimuume
 
hahahahah mkemwenza ungenunua uonje, ni nzuri sana unatokana na mchele ambao haujakauka/komaa..... hahah umenifurahisha ulivyodhani wanauza condom hadharani hahah...

Ha ha ha, kweli, kuna wakati niliend Ifakara nikakuta wanauza kitu kinaitwa 'pepeta', kwanza nlivyosikia wanatangaza tangaza, nikajiambia 'skafulillah, wanauza kondomu za kike hadharani?'. Mara naona mchele ulobantalala, sikupata akili ya kununua nionje.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom