Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,957
Mkuu nilifikiri wezi hawa ni wa kariakoo kumbe ni majuu na hao huwa hatuwawezi wako mbali sana na sisi ndio kwanza uko na mchakato wa vipengere vya kumdidimiza mlala hoi na tukimaliza hapo ndio tutakuwa na mashindano ya vazi la tangayika
Mkuu wapigaji wako kila mahali duniani. Kuna wakati nilikuwa Uholanzi Maastricht nikiwa kituo cha bus akaja mwafrika na kwa haraka haraka alionekana kuwa Mnigeria!!!!! Akaanza kunizungumzia usanii, kumcheki hadi suruali ilikuwa imetoboka. Nilimpiga maswali ya chenga matatu tu nakuambia in a less than 5 minutes sikumuona tena.