Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
- Thread starter
- #41
ma trafiki wa Moshi niwasumbufu hata kama huna kosa wanataka kitu kdogo
Bora wa Moshi mara mia. Wa Arusha ndio kichefuchefu kabisa. Utakuta askari 20 sehemu moja eti wote ni trafiki na wako kazini..