Wanaume wa hivo ndo kina Franco mwanamke umbane wa nini ila kuwa na misimamo ambayo anajua kabisa Mme wangu nikimshika ndevu halegei ko hata kama hujambana anakua anajua kabisa kwamba huyu jamaa ni kichaaa.
Kuna dem aliwahi kunidharau kipindi cha nyuna hadi raha akiambiwa Leo wanaume asiowapenda atanitaja Mimi. Nko nae geto anapiga na kupigiwa ananiambia nimsindikize kuchukua mzigo namsindikiza wanachat na jamaa we anapewa hela tunarudi geto ananilipa ushuru.
Siku nimemfanyia yangu alibeba chupi zake na kuapa hatorudi tena kwangu nkamwambia usiondoke bado bakuitaj akasema subutuuuu akabamiza mlangoo nikabaki nacheeeka toka siku io sihawai kusumbuliwa na hawa viumbe dawa yao ndogo sana