Recent content by Mashayo

  1. M

    JamiiForums Tanzania ROTARY DAR MARATHON to support UDSM’s Library

    All Alumni, Staff, Students, Friends and Well Wishers of the University of Dar es Salaam are urged to participate in the 2013 Rotary Dar Marathon on Nyerere Day, Monday, 14 October. The events starts and ends at Police Officers’ Mess -- 21.1km marathon starts at 6am and 9km walk starts at 7am...
  2. M

    JamiiForums Tanzania ROTARY DAR MARATHON to support UDSM’s Library · By UDSM Alumni

    All Alumni, Staff, Students, Friends and Well Wishers of the University of Dar es Salaam are urged to participate in the 2013 Rotary Dar Marathon on Nyerere Day, Monday, 14 October. The events starts and ends at Police Officers’ Mess -- 21.1km marathon starts at 6am and 9km walk starts at 7am...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali mnataka Chuo Kikuu pawe Misri?

    Kwanini Serikali inakuwa nzito sana kusilikiliza mahitaji ya wasomi wetu wa baadae? Sasaivi ni siku ya ngapi tangu Chuo Kikuu waanze kuandamana, na bodi ya mikopo imekaa kimya, sasa mnataka wafanye nini ili mjue kwamba wako siriazi? Kwanini mnakuwa wazito ku-address mahitaji yao ndani ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vacancy: Administrator for International Centre for Eye care Education (ICEE)

    Deadline Dec 20, 2010.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Blandina Nyoni, You are tired, you deserve to be fired!

    UBUNGOUBUNGO tunaomba upunguze jazba kisha ujibu hoja ya Baba_Enock. Ukijibu kwa hasira sana, mtaishia kutukanana na kututoa nje ya mstari. Tafadhali eleza mambo kwa kinagaubaga kama alivyofanya MATAMBO na wengine hapo juu. Mama Nyoni ni kati ya watendaji wa serikali wanaoheshimika sana...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Muasisi wa CHADEMA atofautiana na Wabunge wa CHADEMA

    Soma hizi habari tatu kwa makini, kisha naomba maoni yako:- "Wabunge wa Chadema walikataa bungeni Pinda asiwe Waziri Mkuu na pia chama hicho hakimtambui Jakaya Kikwete kuwa ni Rais halali wa Tanzania. " (Source: HABARI LEO HabariLeo | Wabunge Chadema wasusa "SIKU mbili baada ya Mbunge wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 Webmaster na PRO wa NEC wawajibishwe

    Duh ndugu, hiyo habari ya legelege kuajiri legelege kama unao ushaidi wa kutosha basi taifa lishaingia doa. Manake wakati nasoma hii thread yako nimeshtuka hadi nikaskia nywele zinataka kusimama. Bila kusahau naomba turushie huo uchambuzi wa "successful incompetence" manake japo sijauona...
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 Webmaster na PRO wa NEC wawajibishwe

    Inasikitisha sana kuona website ya tume ya uchaguzi inakosa matokeo rasmi ya uchaguzi licha ya maafisa mbalimbali wa tume hiyo kuyatangaza rasmi matokeo ya majimbo mbalimbali. Wakati nafungua tovuti hii nilitengemea kukuta ukurasa wa 'Live Results' matokeo yake nimekosa hata wa 'Yesterday...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 What do we learn from NEC?

    Tunajifunza nini kutoka NEC? Nchi jirani zinajifunza nini kutoka NEC? Dunia je?
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 Mh. Sugui: Haki ya Mtu Haipotei na malaria haikubaliki

    Ushindi wa Mr. II unadhihirishia watanzania kuwa haki ya mtu haipotei na ikipotea ikatafutwa hupatikana. Hongera sana Sugu kwa kusaka haki yako hadi kimeeleweka. Walikupokonya kinjiwa sasa umepewa tembo mzima.
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 Clouds mnajiandaaje kupokea ushindi wa Mr. II (Sugu) ?

    Clouds mnajiandaaje kupokea ushindi wa Mr. II (Sugu) ?
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 Is it right time to say the future of Tanzania is on the hands of NEC?

    Is it right time to say the future of Tanzania is on the hands of NEC? Uchaguzi Mkuu ni kila baada ya miaka mitano, hivyo NEC ilikuwa na muda wa kutosha kujiandaa kuendesha zoezi la uhesabuji kura bila ya malalamiko yasiyokuwa ya lazima(without unnecessary complains). Pia NEC ilikuwa na muda wa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 Halima Mdee waachie jimbo wenzio!

    Halima Mdee kama lengo ni kwenda bungeni tayari ushapata tiketi kwa viti maalumu. Tunaomba busara itumike, waachie wenzako jimbo. Wape nafasi wenzio.
  14. M

    JamiiForums Tanzania "Bad officials are elected by good citizens who do not vote."

    "Bad officials are elected by good citizens who do not vote."
  15. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 I'm tired of hearing it said that democracy doesn't work

    I'm tired of hearing it said that democracy doesn't work. Of course it doesn't work. We are supposed to work it. - Alexander Woollcott
Back
Top Bottom