Blandina Nyoni, You are tired, you deserve to be fired!

huyu meningitis nafikiri ni mmoja wa aidha recent graduates au mtu ambaye hajawahi ajiriwa serikalini katika wizara ya afya. naamini haujui utendaji kazi wa huyu mama, kwa taarifa yako na wengineo huyu mama ni miongoni mwa best PS MOH has ever had in the recent years. amejitahidi kuweka mambo mengi sawa wizarani, ukiritimba umepungua na kazi nyingi ziko safi, ila naamini mapungufu yapo kwa kila mtu ila huyu mama wengi tunapenda abaki wizarani kwa taarifa yako

anatakiwa atambue kuwa mwishoni mwa mwaka jana zoezi kama hili lilifanyika, waajiriwa walikuwa posted,lakini kwa bahati mbaya, kuna watu wizarani walighushi saini ya katib mkuu mama nyoni na wakawapangia watu vituo vya kazi kwenye wilaya mbalimbali. kwa taarifa yako, mama nyoni alipojua hivi alikasirika sana na kuna watu pale wizarani wanachunguzwa juu ya sakata hilo, sasa wewe unataka leo akurupuke tu kupanga watu ilhali kuna wasiomtakia mema na kughushi saini yake?

jengine zamani watu walikuwa posted hovyohovyo, matokeo yake watu wakawa hawaendi kwenye zile wilaya na mikoa waliyopangiwa,hivyo wizara mwaka huu imewaambie muindicate halmashauri tatu mnazopenda kufanya kazi, sasa wewe unatakiwa ujue mahitaji ya watumishi katika kila halmashauri hayafanani, wengine wanahitajika sana na wengine wanahitaji wachache katika kada fulani kwa hiyo zoezi lazima liendeshwe kwa umakini, msije mkajikuta kila anayeomba mnapeleka kanda flani tu,

pia usisahau kuna wilaya zingine hazikupeleka vibali vya maombi ya kazi wizarani, kwa hiyo wewe mathalani ni medical doctor AU NURSE MWENYE DEGREE AU NI PHARMACIST unaomba nafasi wilaya ya korogwe lakini iwapo korogwe haikupeleka maombi wizarani kuwa inamhitaji MD AU RN mwenye degree au pharmacist bali inawataka CO au AMO au nurse mwenye diploma au pharmaceutical technician tu unafikiri nani atakupeleka wewe MD , BSCN au PHARMACIST kwenye wilaya hiyo? Ninachomaanisha usifikiri sometimes kuwa wilaya fulani ina uhaba wa wafanyakazi na ukaanza kulaumu wizara haipeleki watu kule, bali tatizo linaweza kuwa kwenye wilaya ileile kwani makatibu wa afya wanaweza wasipeleke maombi ipasavyo ya ikama ya watumishi wizarani au kada flani flani wasiziombe,

so unatakiwa uelewe mambo badala ya kuwa mtu wa kukurupukarupuka wala huelewi ishu za kiserikali

serikali haina ishu! ina sera,mipango na mikakati.kwa taarifa yako natambua na kufuatilia jinsi halmashauri zilivyoomba watumishi wa kada mbalimbali za afya.hivyo hata kwenye uombaji wangu nilifuata msingi huo.sina tabia ya kukurupuka kama wewe.malamiko haya si yangu tu bali even some of DMOs ambao wanahitaji watumishi hawa ambao hupatikana kwa nadra wanalalmikia hili.
 
bila shaka wewe ni yule mmama mbaya asiyefaa, aliyekuwa waziri wa maliasili na utalii katika selikali iliyopita...kwasababu wewe ndo ulikuwa adui yake mkubwa mnagombania cheo/uwaziri. kwa kifupi, brandina nyoni ni bora mara mia kuliko wewe shamsia..nani sijui jina lako...hata kama kwasasa umekosa ubunge na unalialia kuomba kikwete akupe uwaziri tena....mwaka huu haupiti tena..umekwisha habari yako.

sishangai kusikia hayo.ni tabia yetu watumishi wa kitanzania tunapokoselewa tunabaki kulalamika:wanatuonea wivu! hawatuwezi! ni geresha tu !sisi ndo sisi!n.k.kumbuka 'ukweli ni ukweli tu hata ukisemwa na muongo au mjinga'
 
kuna mama mmoja yule aliyekuwa waziri wa maliasili na utalii akaboronga, ndio anamchafulia sana huyu Blandina nyoni kila eneo...wanatafutana sana...huyu waziri mstaafu anaona mwenzie anamzidi kete na anataka kuchukua nafasi yake. mpuuuzeni huyu waziri wa maliasili na utalii.kazi yake tunaifahamu ilivyoborongwa ktik utalii wa tz..hakuna kilichoongezeka tz kwa uwepo wake zaidi ya kwenda kuzikaripia hotel huko manyara na arusha.
 
naomba usipotoshe watu.yaonyesha wewe una chuki na huyo mama aliyekua wizara ya maliasili.rudi kwenye topic mama,tafuta ukweli leta hapa tuujadili.acha uchochezi "ubungoubungo aka mataa"
 
ndugu yangu FM nashawishika kusema kuwa hoja yako imetawaliwa na nadharia zaidi kuliko uhalisia wa mambo.sina chuki yoyote dhidi ya mama nyoni.but ukweli ni kwamba yapo mambo mengi hayaendi sawa pale wizarani ambayo sitaki kuyataja kwa leo ila if you push me nitayaweka hadharani!naona umetoa data ambazo haziwezi kuaminika kwa sababu ukiulizia wizarani utaambiwa barua ziko kwa katibu mkuu zinasainiwa(kuanzia october 10....)ukiuliza ni lini mataraio ya kupata barua utaambiwa pitapita posta(kweli kwa technolojia tuliyonayo bado tunategemea kupitapita posta? kwa miezi sita ijayo!).idadi unayoisema ya watu waliopangiwa sijui umeitoa wapi,kwani hata website ya wizara haiwezi kuithibitisha(haina hizo data zako).kwa Tanzania ya sasa hatuhitaji kumpa moyo mtu bali tunatakiwa kutoa challenge especially tunapozungumzia swala la afya ya mtanzania.kwa kuwa inawezakana upo hapo wizarani basi tusaidie mchanganuo wa kushughulikia hizo barua,je ni wa kikanda,kimikoa,kiprofession,kindugu au ni first come first served.

Ndg zangu huyu kijana anahitaji msaada, kama kuna mtu yuko hapo kwenye jiko msaidieni. Ngoja ngoja yaumiza matumbo, atasubiri hadi lini? Inaonyesha hiyo wizara iko poa na kiongozi wake Mama Nyoni mfikishie ujumbe kuwa huku nje kuna watu wanapiga kelele wanahitaji huduma yake. Kama yuko makini kihivyo bila shaka atasikia.Pole Ndg Meningitis, mvumilivu hula mbivu.
 
ndugu yangu FM nashawishika kusema kuwa hoja yako imetawaliwa na nadharia zaidi kuliko uhalisia wa mambo.sina chuki yoyote dhidi ya mama nyoni.but ukweli ni kwamba yapo mambo mengi hayaendi sawa pale wizarani ambayo sitaki kuyataja kwa leo ila if you push me nitayaweka hadharani!naona umetoa data ambazo haziwezi kuaminika kwa sababu ukiulizia wizarani utaambiwa barua ziko kwa katibu mkuu zinasainiwa(kuanzia october 10....)ukiuliza ni lini mataraio ya kupata barua utaambiwa pitapita posta(kweli kwa technolojia tuliyonayo bado tunategemea kupitapita posta? kwa miezi sita ijayo!).idadi unayoisema ya watu waliopangiwa sijui umeitoa wapi,kwani hata website ya wizara haiwezi kuithibitisha(haina hizo data zako).kwa Tanzania ya sasa hatuhitaji kumpa moyo mtu bali tunatakiwa kutoa challenge especially tunapozungumzia swala la afya ya mtanzania.kwa kuwa inawezakana upo hapo wizarani basi tusaidie mchanganuo wa kushughulikia hizo barua,je ni wa kikanda,kimikoa,kiprofession,kindugu au ni first come first served.
Nilikuwa najaribu kukusaidia tu ndugu yangu kwa kile ninacho kifahamu kwa uhakika. Takwimu nilizokupa nilizipata kwa watu wanaohusika na zoezi la posting. Kutokuwepo kwenye website ya wizara hakuondoi ukweli wa hili. Usitake kutuaminisha kwamba takwimu zinazopatikana kwenye mitandao ndo sahihi. Kwamba barua zinatumwa kwa posta sioni shida iko wapi, kama waombaji walitumia anuani zao za posta kuwasilisha maombi yao wajibiwe kwa utaratibu upi?. Ni vema kwamba una access na mawasiliano ya mtandao lakini usidhani kwamba waombaji wote wanabahati hiyo. Hapa naomba uelewe kwamba sipingi umhimu wa kuweka taarifa hizo kwenye mtandao. Meningitis kama kweli huwa unasikia sikia achilia mbali kusomea masuala ya menejimenti ungeelewa kwa urahisi sana maana ya kuwapa moyo (encourage) wafanyakazi. Kutoa challenge hakupingwi ila kuna utaratibu wake. Kama unajua mambo ambayo hayaendi sawa hapo wizarani, kwa kukaa nayo moyoni unamsaidia nani?
 
Uadilifu wa Blandina Nyoni ni upi?

Alipokuwa Hazina aliingia "UBIA" na wahindi wa "SoftTec" na kuwapa tenda ya kusambaza "mifumo" ya Computer mpaka kwenye Halmashauri - Sina uhakika kama huu "mradi" bado upo "hai"! As it stands though, bado yupo kwenye payroll ya "SoftTec" .

Ni mla rushwa MKUBWA kama watendaji wakuu wa Serikalini - Hii inayosemwa kuwa nis "sharp", it is purely a cover-up!
baba enoc unamaanisha kuwa blandina amepewa hongo au ana shares na hiyo soft-teck?
 
Nimejitaidi kusoma hoja nyingi kuhusu huyu mama, kwa sisi wataalam wa maswala ya haki za binadamu bado sijaona hoja hata moja ambayo inadhibitisha ya kuwa yeye anahatia. Kwa ufupi tunapoongelea swala la daktari anayetambulika kiserikali. Serikali huwa inafanya juu chini kumpata daktari aliye bora kwa kufanya michakato mbalimbali napenda kunukuu baadhi ya taratibu zinazofanywa kwanza ni kuhakiki vyeti vya waombaji sambamba na sifa na uzoefu wa kazi. Zoezi hili huwa linachukua muda mrefu kulingana na idadi ya waombaji wakati mwingine inaweza kuchukua hata mwaka mzima. Siku hizi Wananchi kwa ujumla huwa wanahitaji daktari bora na sio bora daktari nadhani walio wengi mnakubaliana na mimi. Mimi naona muhusika alikuwa anataka kuongelea labda swala la upungufu wa ajiria, kutokana na kutafuta kazi kwa mda mrefu bila mafanikio. Kama tunataka kuongelea swala la uwajibikaji wa mtendaji wa serikali zipo taratibu nyingi sana ambazo unatakiwa uambatanishe vizibitisho vyenye kuonyesha uhalisia wa hali halisi. Njia moja Wizarani kuna box la maoni, Unaweza kutumia Magaziti yetu ya ndani na hata itashindikana tumia viongozi wa upinzani ili wakatoe hoja hiyo hapo bungeni.

Nakutakia kazi njema ni mimi nafahamu:angry:
 
Mengine ni pamoja na mradi wa kifisadi kutangaza utalii katika mabasi ya uingereza na CNN na kuipotezea mabilioni ya hela za wafadhili, ubadhirifu wa kishenzi wizara ya mawasiliano wa fedha za donor wa scandinavia nadhani Norad na yeye kuchoma ofisi yake ili kupoteza ushahidi, manunuzi ya mamia ya suti za wafanyakazi za shilingi 250,000 kwa kila moja kwa wizara nzima kila wakati wa sabasaba, na kulindwa kusiko kwa kawaida na chief secretary. Nadhani vizuri tutenganishe wizi na uchapa kazi. No amount of uchapa kazi una justify wizi wa mali ya umma.
 
Sasa kama fungu la mishahara halijatengwa atoe ajira tuu? Kila kitu ni mpango, huenda kama mishahara haikuwa kwenye bajeti wakafanya bajeti review kwenye Bunge la January 2011

Kama halijatengwa kwa nini atangaze ajira? Planning maana yake nini? usitetee uchafu bana, atimke ka kashindwa tu
 
Knowing this woman first hand i have to say she is one of the highest form of fraud coming out of our government and sadly she is being protected by the big fishes within our government.

She is an average manager,with lower than normal ability to work with people,very aggressive in achieving her personal interests,completely unreasonable and totally ambitious.
she entertains gossips at the first glimpse,she makes allies that she believes will protect her position at the ministry,and will act like an adolescent schoolgirl in front of her seniors just to get their approvals.
she is lacks self-belief in 90% of things she do or decide,and a "ndiyo mama" is all that she needs all the time.I see her as a typical 1960's leader not a 2010 leader.
Most doctors and workers of ministry of health are patiently waiting for this woman to be replaced or they will leave the ministry in huge flocks(if they haven't started already)

for those with fewer than plausible alternatives they will remain and curse everyday they go to work,for having such a leader.

For those puzzled as to why she is so hated here is a few thing she has done so far,
-misusing donors funds forcing them to accept to whatever "use of funds" bullshit she brings to them-just ask UNICEF about this lady
-she has consistently,purposely forced directors to agree to her re-allocating funds planned for various purposes to be used by her personal ambitious projects,just ask them how much she spent on sabasaba/nane nane.
-she controls ALL the funds in the ministry,everything has to go through HER.here is where she makes allies and foes.
-she ordered uniforms for drivers worth 250,000 each!!and instead of using the public procurement policies set by the government,she purposely chose MARIEDO as the only source of uniforms.
-she often hire private buses out of the blue to be used by the ministry,NO TO is involved,and no public procurement is done.

For those who says she is sharp,are probably her business partners at mariedo,softech etc..,

I personally vew her as a very bad leader,simply chaotic,TOO noisy,lacks even the simplest aura of a leader.but then again you have kikwete as the HEAD of STATE,so this tells you the level of crisis we are in
 
UBUNGOUBUNGO tunaomba upunguze jazba kisha ujibu hoja ya Baba_Enock. Ukijibu kwa hasira sana, mtaishia kutukanana na kututoa nje ya mstari. Tafadhali eleza mambo kwa kinagaubaga kama alivyofanya MATAMBO na wengine hapo juu.

Mama Nyoni ni kati ya watendaji wa serikali wanaoheshimika sana, hivyo BABA_ENOCK naomba usiendelee kumkashifu huyu mama kwa kumwita 'Mla Rushwa Mkubwa' hadi pale ambapo utakapokuwa na ushaidi wa kutosha kumwita hivyo. Unavyomwita mla rushwa unagusa hisia za watu wengi.

MENGINITIS, ni kweli hilo jibu la kuambiwa 'ENDELEA KUPITAPITA POSTA' linasikitisha sana. Na cha kusikitisha zaidi limeshaota mizizi kwenye maofisi mbalimbali. Kwangu hilo jibu linaashiria mambo yafuatayo:-

1. Aliyekujibu hana taarifa kwamba hizo barua zitatumwa lini (lack of coordination)
2. Swala lako bado linafanyiwa kazi lakini hatma yake haiko bayana (tatizo la kimfumo)
3. Kwa bahati mbaya faili au swala lako limeangukia kwa mfanyakazi mzembemzembe ambaye amezoeleka kufanyakazi kadri anavyojiskia, hivyo inakuwa ngumu kwa reception/Maulizo kukupa jibu rasmi.
4. Inawezekana huyo aliyekujibu hivyo siku hiyo hataki kujishughulisha, anaumwa au amechoka kufanya kazi siku hiyo ulioenda hivyo jibu rahisi la kukupa ili uondoke ni hilo.

USHAURI: Kama kweli bado unaitaka haki yako na uko tayari kuilinda, nenda tena hapo wizarani, ukipewa jibu ambalo hautaridhika nalo, omba appointment na bosi wa huyo mtu uliyemwona, huyo bosi akikuyeyesha tena endelea kupanda kazi hadi umfikie Katibu Mkuu japo naamini kabla ujafika kwa Katibu Mkuu lazma utakuwa ushapata ufumbuzi wa tatizo lako.

Hayo madai yako mengine kama ya Wizara kuajiri watoto wa vigogo, kama ulivyosema mwenyewe "we know by names those who are watoto wa vigogo" naomba usichimbe mkwara mbuzi wataje tafadhali alafu itachunguzwa kama waliajiriwa kwa upendeleo au la. Manake tatizo sio kuajiri mtoto wa kigogo, tatizo ni kuajiri mtoto wa kigogo kwa upendeleo bila kufuata misingi na taratibu za kuajiri.
 
bila shaka wewe ni yule mmama mbaya asiyefaa, aliyekuwa waziri wa maliasili na utalii katika selikali iliyopita...kwasababu wewe ndo ulikuwa adui yake mkubwa mnagombania cheo/uwaziri. kwa kifupi, brandina nyoni ni bora mara mia kuliko wewe shamsia..nani sijui jina lako...hata kama kwasasa umekosa ubunge na unalialia kuomba kikwete akupe uwaziri tena....mwaka huu haupiti tena..umekwisha habari yako.

Huyo Baba Enock (post no. 19) ndiyo Shamsa au nimekuelewa vibaya????????????????????
 
.......

For those puzzled as to why she is so hated here is a few thing she has done so far,
-misusing donors funds forcing them to accept to whatever "use of funds" bullshit she brings to them-just ask UNICEF about this lady
-she has consistently,purposely forced directors to agree to her re-allocating funds planned for various purposes to be used by her personal ambitious projects,just ask them how much she spent on sabasaba/nane nane.
-she controls ALL the funds in the ministry,everything has to go through HER.here is where she makes allies and foes.
-she ordered uniforms for drivers worth 250,000 each!!and instead of using the public procurement policies set by the government,she purposely chose MARIEDO as the only source of uniforms.
-she often hire private buses out of the blue to be used by the ministry,NO TO is involved,and no public procurement is done.

Hiyo niliyoweka nyekundu nimewahi kuisika kutoka kwa staff wa Maliasili, na kwa kweli ilikuwa inakwaza utendaji kazi kwa kiwango kikubwa sana. Labda hii inatokana na yeye kuwa alikuwa muhasibu kwa hivyo haamini mtu mwengine kwenye issues za finances za wizara.

Kama hayo mengine ya kutofuata procurement procedures ni kweli basi hapo ndiyo kosa litakuwa limefanyika. Lakini kweli hao wakurugenzi wanamwogopa sana huyo PS au vipi mpaka wanashindwa naye kwa hoja?

Suali langu jengine ambalo halihusiani na huyu mama peke yake. Kila kiongozi ambaye ameteuliwa basi akifika hapa kwenye forum hutolewa makosa kibaoooooooooooo.

Sasa sote tumuombe Mungu ..... EEEE MUNGU TUSHUSHIE MALAIKA WAKO KUTOKA MBINGUNI WAJE KUONGOZA WIZARA ZETU MAANA BINAADAMU WATANZANIA SOTE HATUWEZI KUTOKANA NA MAPUNGUFU TULIYO NAYO. AMEEEEEEN

Au labda waje wazungu watutawale tena?
 
hatimaye website ya wizara imetoa tangazo lenye kuonyesha upangiwaji wa kazi kwa watumishi wa afya.thanks members wa jf for keeping this discussion alive.ushauri kwa serikali na vitengo vyake ni kwamba tufanye kazi tusisubiri watu walalamike. kwa wale waathirika ambao najua niliwasemea boffya hapa.www.moh.go.tz
 
tumeona baraza jipya limetangazwa bila uwepo wa mwakyusa au aliyekuwa naibu wake.hii inamanisha nini?is it true kwamba mwakyusa hakuwa mchapa kazi mhh mhh siamini.napata ushawishi kwamba watendaji wake wamechangia kumuangusha.au inawezekana rais kaanza safisha safisha kuanzia mawaziri hadi watendaji.tusubiri tuone!!tunywe gahawa:tea::tea::tea::tea::tea:
 
Kuna wafanyakazi wa kitengo kilichopo chini ya wizara ya afya wanathibitisha kwamba NYONI hafai kwenye kiti chake. waliniambia majuzi kabla sijasoma hapa. hivyo naweka kete zangu kwa mtoa hoja kwamba huyu mama anaweza akawa nI TATIZO.

apelekwe maliasili alipopaweza na kuweza kutogundulika kwa ufisadi alioufanya
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom