Recent content by MASAMBI

  1. MASAMBI

    Yanga inacheza DSM na Zamalekh, TBC wanaonyesha Bongfleva!

    yanga umoja wa mataifaaaaaaa......mtaipenda tu
  2. MASAMBI

    Haaaa! HAKUNA BTP JAMANI...

    nimepokea walimu wa BTP toka Monduli TTC tangu ijumaa na leo natarajia wa marangu waingie.....
  3. MASAMBI

    DARUSO pamenuka, UDSM kugoma...

    SOLIDARITY FOREVER,serikali haina ubunifu kumaliza matatizo ya Elimu yetu.kila siku wanakuja na mifumo kandamizi na inayoua elimu yetu,Viva DARUSO hakuna kulala warudisheni wenzenu.
  4. MASAMBI

    Arusha Moto, Makruta walikiona cha mtema kuni

    kila siku nataman kuwa muasi.jaman naombeni namba za Al shaabab pls
  5. MASAMBI

    Bange yawatokea puani wasomi UDOM

    Kwani bangi ni haramu??????????? hivi serikali iko wapi @haijui kuwa RIZILA kazi yake ni kunyongea misokoto na TRA hujipatia mapato hapo? @viwanja karibu vyote vya mpira hapa dsm ni sehemu ya kukutanisha vijana na kutumia vilevyi tena bangi kwa wingi? @hivi yule mwakilish wetu balozi wa ITALY...
  6. MASAMBI

    Mh Kenister Mhagama ni mapepe

    una moyo sana wa kuangalia mambo ya kipuunzi na tbc lenu
  7. MASAMBI

    Matukio ya picha ya kizembe yaliyotokea bungeni 2011

    nchi ya kitu kidogo ndo chanzo cha kupatikana wawakilishi feki kama hawa,Mungu waadhibu na kuwaaibisha upendavyo tena siku si nying zijazo maana wako kwa maslah yao na chama chao si kama masilahi ya nchi yetu.Mbuge analala bungenu akishtuka anapiga makofi bila kujali kama waziri anaongea point...
  8. MASAMBI

    Matembo na al shaababu nani zaid

    Binafsi nashindwa kuelewa utendaji wa jeshi polisi hasa kanda maalumu ya dsm.hivi hawajui kuwa kuna kikundi cha wahuni maarufu kama MATEMBO hapa ubungo mataa au ndio kulindana.Hiki ni kikundi chenye maskani yao nyuma ya msikiti wa ubungo maji na wametawala hadi stend ya mwenge.Hujipatia fedha...
  9. MASAMBI

    Tukumbushane MATUKIO YA KUSIKITISHA yaliyotokea TZ 2011

    nakumbuka Jk kuzomewa pale Udsm....jamaa kwa visasi duh!ona sasa watanzania wenzetu anawabania wasipate haki yao ya kusoma.sheeet!
  10. MASAMBI

    Mtoto wa Kigogo Serikalini ahusishwa na mgomo wa uuzaji wa Mafuta

    ...wadanganyika ukiwajua hutawashangaa wanasubiri wanyang'anywe wake zao labda wataamka.
  11. MASAMBI

    Kimenuka UDSM, wanafunzi wanaandamana; FFU wako tayari....

    aluta continua shikamaneni wenzenu wapate haki yao ya kusoma.msitishwe na mkandala hata yeye anajua serikali ndo mchawi wa elimu yetu
  12. MASAMBI

    DARUSO wapanga kupitisha mgomo rasmi UDSM

    imebaki ridhiwani na wadogo zake waandamane ndo JK ajue kimenuka?UDSM kuna siasa chafu ndo maana viongozi wake hupatikana kwa mizengwe...mara GPA ndogo ati ana mkono wa chama .....mara wanaharakati feki....solidarity forever unganeni mkomboe wenzenu serikali haina maskio tena.mabomu hayatoshi...
  13. MASAMBI

    Maandamano Arusha Lema yuko huru

    Mbunge wa arusha mjini mh. Godbless Lema ameachiwa kwa dhamana na kuna maandamano makubwa arusha mjini kwa sasa
Back
Top Bottom