HALI NI MBAYA UDSM WANAFUNZI WANAANDAMANA WAKIPIGA KELELE HUKU FFU WAKIJIANDAA KUFANYA KAZI YAO,............WANADAI WENZAO WAACHIWE HURU,....DAAAAAAAH NGOJA 2CHECK ':shock:
HALI NI MBAYA UDSM WANAFUNZI WANAANDAMANA WAKIPIGA KELELE HUKU FFU WAKIJIANDAA KUFANYA KAZI YAO,............WANADAI WENZAO WAACHIWE HURU,....DAAAAAAAH NGOJA 2CHECK ':shock:
Kwa nn ffu wasivunje mkono mwanafuzi kwa risasi ya moto waone kama kuna mwendawazimu ataendelea kuandamana
Watoto wa siku hizi kusoma hawataki kazi kudai hela tu hakika mbeleni tutakuwa na taifa hovyo kabisa polisi hebu fanyeni kazi yenu......watazoea
good job wana wa udsm
no changes without struggling, hivyo wanachofanya wanachuo ni sahihi katika kudai haki zao, maandamano si kuvunja sheria bali ni moja ya njia ya kudai haki. ni vyema utawala ukawapa nafasi wanachuo kuandamana ili ujumbe wao uwafikie wananchi wanaoitwa wakulima ( lakini sina uhakika kama ni wakulima au wakulimwa?
Waombe madesa kutoka kwa machinga wa mbeya wajisomee namna ya kukabiliana na polisisiem kwa siku kadhaa. Sio kuandamana halafu vijana wa mwema wanawatawanya ndani ya dk 10. Ujinga ni wakati wa kwenda, saizi ni kurudi lazima muonyeshe kuwa elimu imewasaidia kujua pabaya na pazuri kukabiliana na hao njaguTatizo lao kubwa hawajipangi kama wasomi. wanakurupuka tu.
inabidi kuaandaa huo mgomo sio kukurupuka tu.