MASAMBI Member Feb 4, 2011 19 3 Nov 14, 2011 #1 Mbunge wa arusha mjini mh. Godbless Lema ameachiwa kwa dhamana na kuna maandamano makubwa arusha mjini kwa sasa
Mbunge wa arusha mjini mh. Godbless Lema ameachiwa kwa dhamana na kuna maandamano makubwa arusha mjini kwa sasa
WA-UKENYENGE JF-Expert Member Oct 1, 2011 2,918 1,233 Nov 14, 2011 #3 Picha mkuu!! Crashwine keshatoa ndondoo keshaachiwa na watu wameshasambaa kitambo! sasa unasema maandamano yametoka wapi?
Picha mkuu!! Crashwine keshatoa ndondoo keshaachiwa na watu wameshasambaa kitambo! sasa unasema maandamano yametoka wapi?
mgen JF-Expert Member Nov 18, 2010 22,631 8,417 Nov 14, 2011 #4 MASAMBI said: Mbunge wa arusha mjini mh. Godbless Lema ameachiwa kwa dhamana na kuna maandamano makubwa arusha mjini kwa sasa Click to expand... polisi wamesha jifunza hawarudii tena!
MASAMBI said: Mbunge wa arusha mjini mh. Godbless Lema ameachiwa kwa dhamana na kuna maandamano makubwa arusha mjini kwa sasa Click to expand... polisi wamesha jifunza hawarudii tena!
Chilipamwao JF-Expert Member Nov 15, 2010 523 128 Nov 14, 2011 #6 tupe mambo kaka, mbona unatuonjesha?
J jigoku JF-Expert Member Sep 9, 2011 2,411 733 Nov 14, 2011 #7 Picha mkuu zitanogesha post yako,fanya kama watu wa Mbeya tulipata mambo katika picha pia,tupe update na mambo yalikuwaje na nani amemwekea dahamana
Picha mkuu zitanogesha post yako,fanya kama watu wa Mbeya tulipata mambo katika picha pia,tupe update na mambo yalikuwaje na nani amemwekea dahamana