Arusha Moto, Makruta walikiona cha mtema kuni

Gongo yenyewe na mirungi wakichukua wanaenda kuuza tena kwa bei chee! Kuna mtu alishaniambia huwezi kuwa na rafiki polisi, lazma akuchome siku japo kwa wenzie! Naamini kwa dhati sasa!

umenikumbusha askari fulani wawili walikuwa wana kawaida ya kunywa gongo kwa bibi fulani... Siku moja askari[si wale wateja wake] walikuja kumkamata yule bibi akawahonga 20,000 wakamwachia. Baada ya muda wale askari wateja wa yule mama walifika.Bibi akawaambia yaliyomkuta. Baada ya siku 2 au tatu ilikuja kugundulika kuwa wale askari wateja wa gongo waliwatuma wenzao kwa kuwa siku hiyo hawakuwa na hela ya kunywea!
 
Hawa makruta kutoka CCP walienda matejo, wakashika machalii kibao na gongo. siku ya kwanza walifanikiwa.

Siku nyingine wakaenda, hiyo ilikuwa wiki iliyopita. Kumbe watu walikuwa wamejipanga, wakajikusanya watu 15. Wale mapolisi walipokuja, wakawekwa chini ya ulinzi, wakaambiwa vua mabuti na mjifunge mashati, wakateremshwa mtoni wakatelekezwa hawana viatu.

Ndo Defender za FFU zikatumwa na hawajaona mtu.

Arusha ni Noma.

Hao walishafeli na field yenyewe kama ndio kihivyo
 
ule waraka ni noma.umenîpunguza hamu ya kujiunga na jeshi.

acheni kuingia ila mfahamu wazee ndio tunaishia hivyo, aje huyo rais wenu wa moyoni muunde jeshi lenu la kuvaa milegezo muone kama ni rahisi kihivyo!
 
CHADEMA wakichukua nchi hili jeshi lifutwe kabisa halina maana, ama vipi ibinafsishwe

Mkubwa! Mi nakuunga mkono kbs! Mageuzi ikipatikana tu! Hakika ni Kheri serikali itakayokuwa madarakani na sio ya hawa mafisadi ingefanya mabadiliko haraka sana ya kuiondoa sekta ya jeshi hili halafu ikiwezekana itafutwe kampuni binafsi kama KK na wapewe nafasi hii kwn Mi naona itakuwa auheni kwa raia wananyanyaswa na hawa polisisisiem. MAJINGA KABISA!! Nilitamani ningekuwepo siku hiyo hapo mtaa wa MATEJOO! Hongereni vijana wa mtaa lengwa!
 
Back
Top Bottom