Tukumbushane MATUKIO YA KUSIKITISHA yaliyotokea TZ 2011

Mi nakumbuka 1.AJALI YA MELI KULE ZENJ, 2.MAUAJI YA RAIA KULE KWENYE MGODI NYAMONGO 3. POLISI WALIUA RAIA WALIOKUA WANADAI HAKI YAO ARUSHA 4. J.K KUSAIN MSWADA WA KATIBA 5.........6..........7.............

la kusikitisha kubwa ni kuwa na serekali tuliyonayo sasa linasikitisha kupita yote
 
Siku ambayo nilijiunga JF na kua napata mi breaking news ya uhakika, mpaka sasa hivi sina muda wa kuangalia taarifa za habari kwenye TV...
 
Wabunge wa CCM kugonga meza huku wakiwa hawaelewi sababu ya kufanya hivyo. Ni wakati wa mijadala bungeni.
 
Watu wengn wakikaa madarakani hua km nuksi.
Huyu Kiwete ndo aneleta mabalaa yote haya, Astaghfirullah. Pengine dhulma na Alhamdulillah za wanoonewa hizi. Loh
 
Ajali ya ubungo na ile nyingine kimara la loli la mafuta ilipo ilalia daladala
 
Ajali ya ubungo na ile nyingine kimara la loli la mafuta ilipo ilalia daladala
umenifanya nitokwe tena na machozi kwa sababu ajali hiyo ndiyo iliyakatisha maisha ya mama yangu mdogo mpendwa Naomi.

Pumzika kwa amani Mama mdogo.
 
nakumbuka Jk kuzomewa pale Udsm....jamaa kwa visasi duh!ona sasa watanzania wenzetu anawabania wasipate haki yao ya kusoma.sheeet!
 
Sukari kupanda bei mpaka kufikia 5000 baadhi ya maeneo tanganyika na ku2rudisha kipind kilee cha maduka ya ushirika.Kama arusha mpaka hii leo sukari inauzwa kwa mwenyekit.
2-Mauaji ya raia(machinga) mbeya.

3-****** kusain mswaada wa uundaji wa katiba
Inaonyesha mengi ya kusikitisha na kutatanisha yametokea wakati wa Jk
 
Siku ambayo BI Kiroboto alilifananisha bunge na K.koo kisa walipiga kelelel
 
Back
Top Bottom