Kwa kweli hiki kitendo kimeeniumiza sana...leo nimeingia kituo cha Engen mida ya saa nne mkoa wa Arusha..kukiwa na foleni kubwa ya pikipiki..nikaa kwenye foleni..nikapata mafuta baada ya foleni ndefu..ila cha kusikitisha ni bei wanayouza mafuta..Kwenye bango imeandikwa bei ya Petrol 1966Tsh per lt..lakini kwenye pump bei wanayochaji ni 2074tsh per lt..nimejaribu kuwauliza wakaniambia ni bei waliyopangiwa na boss wao..nilikasirika nikaishia kuwaambia ipo siku...nchi yetu itakuja kuwa na viongozi wanaowajali wananchi wake..
...wadanganyika ukiwajua hutawashangaa wanasubiri wanyang'anywe wake zao labda wataamka.
Shida yetu ni maneno mengi pasipo kuchukua hatua. Ifike mahali tuanze kuchukua hatua maana bila hivyo hatuendi kokote!