Recent content by Martin Sumun

  1. M

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Sijapenda Man United kushinda leo..
  2. M

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Partey ameituliza team kwa kias kikubwa mpaka sasa..naamin tungekuwa kwenye mudi nyingine kama sio kosa la Gabriel..bila shaka tumecheza vzur..tuongeze umakin tutapata points 3
  3. M

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kama ilivyo kuwa ngumu kupata mchezaji mzur wakat wa January kwa Arsenal ndivyo ambavyo ingekuwa ngumu kuuza wachezaj hao ambao wameondoshwa kikosin..kwa Arsenal kuuza wachezaj wetu wabovu kwenye dirisha kubwa la usajili ingekuwa ngumu sana kumbuka wakat wa dilisha kubwa wachezaj wengi wazur...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kubadilika

    Asante kwa kila neno lako
  5. M

    JamiiForums Tanzania Swali: Je Palestina haina jeshi wala polisi?

    Hello JamiiForums
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, George Floyd ni mtume?

    Huhitaji kuwa na akir za ngumu kutafsr yanayotokea huko,yale unayoyaona huko ni mjumuiko wa kawaida tu usiohusiana na mambo ya mungu wewe,uwe na fikra endelevu,kwan hujui ubaguz wa rangi bado upo Marekan??tukio lile limeigadhabisha jamii yote yenye kupenda usawa kwa binadam wote,ili kulipa uzito...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio safu ya CCM mpya ya Rais Magufuli

    Sijui umeandika ili umaanishe nn Sent from my iPhone using JamiiForums
Back
Top Bottom