Namuona Laca anacheza sana na refa.Huyu Laca ameamua kua mlinzi sasa kuscore kaachia wengine
Hapana mkuu.Wachezaji wetu wapo so passive wakati its aggressive game, Na kwa Gabriel hatuwezi kufika ni muda wa Saliba kuchukua namba hiyo
Mkuu wachezaji wanaoirudisha nyuma Arsenal wote nawaelewa vizuri , ana mapungufu mengi sana structurally, Paka sasa hivi bado anajifunza na ni mwaka wake wa pili Huu, 2 full seasons.Hapana mkuu.
Gabriel ni beki mzuri tu kaka
Semedo anataka Barcelona ijute kumuachia.
Hawa forwards wote mapumziko wachapwe bakora.
Big chances 3 ila hakuna shot on target
Hii ni timu au
Leo kaamka poa hizi 45 minutes za mwanzo. Hana ukali huoNi mchezaji mzuri sana, mpaka Martinelli anamkimbia
Angalia Thomas Partey's Calmness, the way anavyorun channels, huyu ndio Partey tunayemtaka , the problem ni consistency Maana mechi ijayo achelewi kukuudhi.