Kuna uwezekano mkubwa wa arsenal kuwa wamempa mkataba Jack Wilshere. Ikiwa wamempa mkataba ni je atatusaidia? Wilshere ni mchezaji mwenye mapenzi makubwa sana na arsenal na kipindi anaondoka alikuwa yuko tayari kupunguza mshahara wake ili aendelee kubaki arseanal ila hakuwa kwenye mipango ya coach Unai