babyfancy
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 2,176
- 6,188
Mungu ni mwemaAhsante mkuu kwa kutukumbusha hili la bomu,kesi kama hizi maadam zinawagusa watanzania wa upande wa pili,faili lake peleka moja kwa moja kwenye kabati la COLD CASES,ila historia haitakuja kusahau kumbuka pia kuuliwa kwa mwandishi wa habari na polisi mchana kweupe pale mkoani Iringa,ipo siku ukweli na wahusika watajibia hili,huko kwa Madiba watu wameanza kujibu waliyayafanya miaka 30 iliyopita ya kutesa watu na kuwarusha maghorofani pale John Voster police station,pamoja na uzee wao wanashinda mahakamani kujibia tuhuma zao,hili nalo litakuja tokea hapa Tanzania ,always wakati ni ukuta.
aliwatumia kama karai la siteInamaana Makamba, Mwigulu, Nape, hawajamuelewa Magufuli?
hahaha Albert Msando tena yeye ndo aliandika maswali ya kuwahoji kina Kinana na Makamba kwenye kikao cha maadili.Mmemsahau na mwandika barua kwenda American Embassy
ndiyo wanapewa nafasi za uongozi huko CCM kwasababu kuna uhaba wa viongozi ndani ya CCM.
hahaha yule karai wa Dodoma anaitwa Katambi.
usimsahau Juliana shonza a.k.a Benazir wa maboxSamson mwigamba
Gekul
Molel
Mtolea
Mtulia
Lazaro mstahiki meya
Mwakyembe diwani wa temeke
Sent using Jamii Forums mobile app
Kibajaji ilifika kipindi fulani akasema naenda safari, nikirudi mawashughulikia wapinzani lakini wapi, akabaki kusoma namba ya Waitara na wengine.wafia chama midomo wazi kama wamefumaniwa - teh teh teh
Wadau mwanzoni nilikuwa sijamwelewa Mh Magufuli kuhusiana na mkakati wake wa kuimalisha na kuunda CCM mpya!.
Wafuatao hapa chini na wengine unao wafahamu ndio wanaounda CCM mpya ya Mh Magufuli, na wengi wao tumekuwa tukijua misimamo yao ya kisiasa na kiitikadi kabla ya kuingia katika timu hii ya CCM mpya.
1. Dr Bashiru
2. Polepole
3. Dr Slaa
4. Mwita Waitara
5. Dr Mashinji
6. Mtatiro
7. Kafulila
8. Machali,
9. Na wengine wengi waliounga mkono juhudi.
Kweli kwa sasa nimemuelewa Mh Magufuli, hii ni CCM mpya sio CCM ya Jakaya!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Press zate kimyaaa - teuzi zinaisha tu jina halisomeki.Umemsahau Komredi Musiba..
Hiyo CCM mpya ina Jipya gani kwa Taifa zaidi ya njaa zao tu?Wadau mwanzoni nilikuwa sijamwelewa Mh Magufuli kuhusiana na mkakati wake wa kuimalisha na kuunda CCM mpya!.
Wafuatao hapa chini na wengine unao wafahamu ndio wanaounda CCM mpya ya Mh Magufuli, na wengi wao tumekuwa tukijua misimamo yao ya kisiasa na kiitikadi kabla ya kuingia katika timu hii ya CCM mpya.
1. Dr Bashiru
2. Polepole
3. Dr Slaa
4. Mwita Waitara
5. Dr Mashinji
6. Mtatiro
7. Kafulila
8. Machali,
9. Na wengine wengi waliounga mkono juhudi.
Kweli kwa sasa nimemuelewa Mh Magufuli, hii ni CCM mpya sio CCM ya Jakaya!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwigulu akikumbuka lile bomu alilorusha huwa anajisikiaje, hasa baada ya kuonekana takataka mbele ya CCM mpya!Pamoja na kutupa bomu la kurusha kwa mkono kwenye viwanja vya Soweto pale Arusha kwenye uchaguzi wa marudio ya udiwani,bomu lililogarimu uhai wa watanzania wenzetu
Siasa hizi we acha tu ndugu yangu.! Watu wasio na uelewa huwa zinawaacha vibaya sana pengine kwa kujua au kutojua. Assume kwa Sasa watoto wa Lissu na watoto wa Ndugai,watu wanashindwa kuelewa kuwa siasa sio uadui na maisha lazma yaendelee. Wale ndugu wa marehemu wa bomu la Mwigulu hakuna namna unaweza kuwafaliji eti wasamehe na wasahau HAKUNA HAKUNAMwigulu akikumbuka lile bomu alilorusha huwa anajisikiaje, hasa baada ya kuonekana takataka mbele ya CCM mpya!