Recent content by MARILYN

  1. MARILYN

    JamiiForums Tanzania Askari ala kichapo Kimara mwisho

    Am waiting..... Sent from my BlackBerry
  2. MARILYN

    JamiiForums Tanzania Askari ala kichapo Kimara mwisho

    Ccm inahusika vipi na uvivu wa kufikiri wa huyo askari? Sielewi atii...
  3. MARILYN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa makini na mapenzi ya facebook

    Duh! Unatumaje hizo hela, kuna fesibukmoney au?. Sent from my BlackBerry
  4. MARILYN

    JamiiForums Tanzania Wamiliki shule binafsi waiangukia serikali kupandisha vibali walimu wa kigeni $ 2000

    Kwani nilazima waajiri watu wa nje? Mbona wapo wa tanzania kibao wenye uwezo...
  5. MARILYN

    JamiiForums Tanzania KEFA ODAO... ndio mimi!

    Welcome..
  6. MARILYN

    JamiiForums Tanzania Zamaradi Mketema na Ray C warushiana maneno Instagram kisa ni penzi la Ruge!

    Huyu ray c huyu si juzi juzi hapa tumeambiwa kaokoka SILOAM!?
  7. MARILYN

    JamiiForums Tanzania Mayai ya Kwale Yanauzwa

    Ungetuwekea picha maana wengine hata hatujui kwale wanafananaje.
  8. MARILYN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda tatizo namuogopa

    Teh teh teh teh Sent from my BlackBerry
  9. MARILYN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USHAURI Jamani sijawahi kumwambia ukweli juu ya hili....!!

    Yaani ulianzaje kuchat na demu ambaye unajua rafiki yako yuko interested!? Kama ni mimi urafiki unakufa hapo hapo. I thought hayo mambo wanafanya wanawake tu! Sent from my BlackBerry
  10. MARILYN

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa homa ya matumbo (Typhoid) na tiba mbadala

    Mi naona tatizo ni hizo waterguards, inawezekana ni feki....maana siku hizi bwana feki zimetapakaa....jaribu kununua kwenye big pharmacies (zile zenye hadhi ya kuprotect) Sent from my BlackBerry
  11. MARILYN

    JamiiForums Tanzania Six pack ya Shilole

    Teh teh teh
  12. MARILYN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gharama halisi za kujifungua kwa Operation

    Wadada siku hizi! kila mtu CS ..... Wengi wanaponzwa na swagga za BIG NAMES (hospitals) ukiwauliza advantages za CS hawajui hata moja! BANDWAGON! Sent from my BlackBerry using JamiiForums
  13. MARILYN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaidieni huyu plizzz

    Ndo tatizo la watoto wa chuo, mkifika chuo tu mnajiona watu wazima na kukurupukia mambo, alitakiwa afikirie hayo yote kabla ya kubeba hiyo mimba. Akiamua kuitoa kuna matatu, Moja ni kifo, mbili ni ugumba baadae tatu anaweza kubahatika kuepuka hayo mawili hapo juu japo there's a very slim chance...
  14. MARILYN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengi hawajui kuwa heshima yao ipo kwenye maumbile yao

    Si tunawaiga kina maria clara, marichuy, ruby.....nikiona mwanamke amevaa vibaya huwa sijisikii vizuri yaani mimi ndo naonaga aibu! Kuiga kubaya! Sent from my BlackBerry using JamiiForums
  15. MARILYN

    JamiiForums Tanzania Looking for a female friend in Dar

    Duh! Short romance!? Heart at risk. Sent from my BlackBerry using JamiiForums
Back
Top Bottom