Gharama halisi za kujifungua kwa Operation

Gharama halisi za kujifungua kwa Operation

Agakhan wezi ,its actually a 5 star hotel not a hospital its 2.5 mil for CS operation and that is ridiculous:A S-fire1:
 
Kujifungua hakubadilishi ladha ya ndoa,wacha kudanganya watu
 
Jaribu hospitali ya mico sinza makaburini, Dr. Mnyau, ni daktari bingwa wa wanawake pale lugalo, gharama zake haizidi laki 3... na ni pazuri.
 
kairuki mikocheni,tena km unabima ya afya mambo mteremko tu.mtafute sister Agatha utafurahi hashoni mauzi anatia gundi
 
Muhimbili kwa Dr Kamugisha..............Jitahidi uwe na kama laki 6 hivi!!!!!!!!!!!!hongera
miongoni mwa walio bora kwa sasa na hapo waweza kumpata private na accomodation ni nzuri tu gharama inarange kwenye 400,000 - 500,000/- kwa siku kama tatu kila kitu.
 
wife ametoka kujifungua siku 2 zilizopita pale agakhani,gharama yake ni 2,814,500/= kama hakutakuwa na complications nyingine zaid ya OP.Wataalamu wanasema njia salama ya kujifungua ni CS kwakuwa motto natolewa bila misukosuko yoyote so hata brain zao zinakuwa safe na wanakuwa bright sana ukilinganisha na wale ambao huwa wanajifungua kwa njia za kawaida zile pilika pilika za kuvuta,mara sukuma mototo wanasema zina distrurb brain za watoto,lakini pia utaendelea kufaidi tunda lako katika hali ile ile UKIFIKA MUONE Dr.CHANJI NI BONGE LA Dr.
hivi ukisema ndipo akili zinakuwa sawa kwenye red unamaanisha nini? Hii ndio njia aliyoiumba Mungu na anajua inaleta kilichokusudiwa. Yaani ni sawa na kusema kula kwa mdomo kunaumiza taya hivyo tule kwa mipira au kuwekewa drips!
Lakini pia unataka kusema Waisrael, Wazungu, Wajapan, Wachaga, Wahaya, wachina (natania) wote walizaliwa kwa operation?
Hapo kwenye bluu inaelekea ni kiasi gani wabongo tunawaza ngono kihasi cha kuwa tayari kupingana hata na uumbaji wa Mungu mwenyewe!
 
kama mkeo anaweza kujifungua kawaida, itakuwa vyema na mwache mamsapu ajifungue.
Mie ntapenda kabisa mheshimiwa awe golini kabisa au ani-massage mabega wakati napush..
 
kama mkeo anaweza kujifungua kawaida, itakuwa vyema na mwache mamsapu ajifungue.
Mie ntapenda kabisa mheshimiwa awe golini kabisa au ani-massage mabega wakati napush..

miongoni mwa walio bora kwa sasa na hapo waweza kumpata private na accomodation ni nzuri tu gharama inarange kwenye 400,000 - 500,000/- kwa siku kama tatu kila kitu.

Jaribu hospitali ya mico sinza makaburini, Dr. Mnyau, ni daktari bingwa wa wanawake pale lugalo, gharama zake haizidi laki 3... na ni pazuri.

kairuki mikocheni,tena km unabima ya afya mambo mteremko tu.mtafute sister Agatha utafurahi hashoni mauzi anatia gundi

Thanks wote, leo kalazwa palepale Morocco nyuma ya airtel nitajaribu kumshauri niende hapo Mico,au kairuki...ngoja nianze kuzifuatilia hizi...infact kadi yake ya bima imesha-expire coz maza ni retired, na yake kutoka ofisini hawajapewa bado...!!

My Regards!!
 
Nimuhimu pia kumuuliza nayy niZAO la OP ao Kawaida manake mambo mengine humu full vituko!
 
Acha kupotosha uma , we ulizaliwa kwa njia hiyo !!
wangapi wamezaliwa kwa njia ya kawaida na wako so bright ??
huo uzungu wenu utawafikisha pabaya !!!
Imeandikwa mwanamke atazaa kwa uchungu senzii !!!
mkuu umenena vyema sana.
 
Eti brain. Inakaa vzr si tuliozaliwa kawaida tusingekuwa tulipo.katika maisha Yang huwa natafsiri kila neno mtu analoniambia au tendo in that sense natafsri kwamba mkeo ana anachokijua ndani ya nafsi yake ndo mana anataka op what if ukimmwambia huna pesa kabisa afuate natural way?
 
Kwani ana matatizo gani mpaka ajifungue kwa operation? Au ndo fashion siku hizi kujifungua kwa operation? Mana naona wanawake wengi wanataka operation, nenda kwa Dr. Kamugisha au Dr. Mrema pale Muhimbili
 
Agakhan wezi ,its actually a 5 star hotel not a hospital its 2.5 mil for CS operation and that is ridiculous:A S-fire1:
kabla ya kuingia baharini kuoga inabidi upime kina cha maji,na ndio maana kuna regency,agakhan,TMJ,Muhimbili,Mwananyamala kwa wezi wa watoto,amana kwa mabingwa wa kuua vichanga n.k sio lazima watu wote wajazane aghakan mkuu!
 
hivi ukisema ndipo akili zinakuwa sawa kwenye red unamaanisha nini? Hii ndio njia aliyoiumba Mungu na anajua inaleta kilichokusudiwa. Yaani ni sawa na kusema kula kwa mdomo kunaumiza taya hivyo tule kwa mipira au kuwekewa drips!
Lakini pia unataka kusema Waisrael, Wazungu, Wajapan, Wachaga, Wahaya, wachina (natania) wote walizaliwa kwa operation?
Hapo kwenye bluu inaelekea ni kiasi gani wabongo tunawaza ngono kihasi cha kuwa tayari kupingana hata na uumbaji wa Mungu mwenyewe!
hili nalo neno we bado unajua wazungu wanaakili??mifumo ya ufundishaji ndo kikwazo kwetu,na pia wenzetu wamewahi kulion jua tu nothing more,aliyekwambia wajapani,wahindi,wachina na wengineo wanaakili kushinda ngozi nyeusi ni nani??jitmbue na uache kukurupuka bila kuwa na facts za kutosha,nenda ka google advantaje za CS utaona,hakuna anayependa kisu but kila kitu kina (-ve) na (+ve) jiulize kwa nini wanawake wengi siku hizi ni CS je huwa wanalazimishwa kule hosp or what??
 
Caesarean section (CS) ndiyo njia salama siku hizi maana waknamama wengi wameonekana kuwa na matatizo na hawajitumi kusukuma wakati wa kujifungua. Hili ni jawabu muwahishe mwenzako hapo Mikocheni au Agakhan, Muhimbiri watu wengi na bei zake siyo mbaya ukitumia 500,000/= Mimi nina watoto 2 lakini hatukuwahi kupigwa kisu (CS) lakini inahitaji moyo wa subira.
Hivi naomba kuuliza hivi pia hii tabia ya maospitali mengi ya Private kufanya Operation kwa kina mama kwanini?mbona Government Hospital wengi huzaa kawaida?
 
Wasalamu!!

Naoma kujulishwa range ya gharama za kujifungua kwa njia ya OP katika mahospital ya Rufaa, za kawaida na zile za private(hasahasa) na Kujulisha hospitali zipi ni nzuri kwa huduma hiyo, mara nyingi wife to be anapendelea kwenda pale Mount Ukombozi-Morocco bt sina uhakika kama pale kuna mabingwa wa OP...manake karibuni nitaanza majukumu.

My Regards MMU
Mkuu umechagua operation au unahisi atajifungua kwa operation?
Hospital nyingi za Private zinazalisha kwa Operation,bt wengi wanaojifungulia hospital za serikali wanajifungua kawaida kwa nini?
 
Hivi naomba kuuliza hivi pia hii tabia ya maospitali mengi ya Private kufanya Operation kwa kina mama kwanini?mbona Government Hospital wengi huzaa kawaida?
Operation gharama zinaongezeka na private wako kibiashara zaidi.
 
Wadada siku hizi! kila mtu CS ..... Wengi wanaponzwa na swagga za BIG NAMES (hospitals) ukiwauliza advantages za CS hawajui hata moja! BANDWAGON!

Sent from my BlackBerry using JamiiForums
 
Hivi naomba kuuliza hivi pia hii tabia ya maospitali mengi ya Private kufanya Operation kwa kina mama kwanini?mbona Government Hospital wengi huzaa kawaida?

Ndugu yangu hakuna anyependa kuona vifo vya mama ama watoto. Katika hospital za private kwanza wanao uwezo (CS capacity) na pia ni rahisi lakini inaingiza pesa hiyo huduma. Jibu kwahiyo ni kwamba wakimuona anayo matatitizo yanayoweza kufanya ugumu katika kuzaa kawaida wanaamua kumuweka katika operation
 
Back
Top Bottom